rHili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
View attachment 2903346
Mwenye makosa aliyeweka mkutano wa hadhara barabaraniUnahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
r
Mwenye makosa aliyeweka mkutano wa hadhara barabarani
Hakuna barabara hapo. Bodaboda wanapita popote pale.Contributary negligence.
Sawa dereva anamakosa, lakini nyinyi mnafanya mazungumzo katikati ya barabara.
Hawa form four failure Boda boda ni wajinga sanaHili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
View attachment 2903346
Nimeishia kucheka tu kwa kweliHili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
View attachment 2903346
Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
View attachment 2903346
Hiyo barabara au uchochoro? Kwanini boda atake kupita katikati? Pili inaonekana bike haina breakContributary negligence.
Sawa dereva anamakosa, lakini nyinyi mnafanya mazungumzo katikati ya barabara.
Hata wewe ukimaliza degree yako utaungana na kaka zako graduate kuendesha bodaboda hapo ndo utabadili mtazamoHawa form four failure Boda boda ni wajinga sana
Kamba ndio niwe na akili hizo?Hata wewe ukimaliza degree yako utaungana na kaka zako graduate kuendesha bodaboda hapo ndo utabadili mtazamo
Akili zipi?Kamba ndio niwe na akili hizo?
Utabadili mtazamo wa kuwa Kila bodaboda ni form four failureKamba ndio niwe na akili hizo?