Video: Masai arushwa kichura chura

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mwanaume mmoja wa kabila la Kimasai ameonekana akirushwa kichura chura baada ya kuvamia shamba la watu.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Waulize watu waliojaribu to deal with Maasai huko vijijini Tanga kilichowakuta,
Wanakuja kundi wanatembeza kichapo wanahama mkoa pori to pori
Yeah, Wamasai hawatakiwi kuzuiwa, hao wakiingiza ng'ombe shambani kwako inabidi uwaangalie tu, usiwaguse. Waache wakitosheka wataondoka wenyewe...Mae
 
Yeah, Wamasai hawatakiwi kuzuiwa, hao wakiingiza ng'ombe shambani kwako inabidi uwaangalie tu, usiwaguse. Waache wakitosheka wataondoka wenyewe...Mae
Wadharau wamasai ukiwa mjini....kutana nao Shamba uwazingue utaisoma, Tanga walichoma nyumba ya mtu na kusepa zao
 
Wadharau wamasai ukiwa mjini....kutana nao Shamba uwazingue utaisoma, Tanga walichoma nyumba ya mtu na kusepa zao
Tanga ndiyo sehemu ya kutolea mfano kweli mkuu? Hukohuko Porini kuna Kabila wanaitwa Wasonjo, wamezungukwa na Wamasai pande zote katikati porini lakini kila wakati wamasai walipojaribu kuliamsha waliishia kulambishwa michanga na kukimbia wakisahau hadi lubega, tena hapo waliitana hadi wale wa kule, Kenya, Kiteto ma Simanjiro.
 
Back
Top Bottom