Video: Makonda Adondosha Machozi Kwa Sababu ya Unyama Aliofanyiwa Mtoto Wanawake sio Binadamu.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,826
Kisa hiki hata wewe kinaweza kukuliza kama kilivuomliza Makonda.

Just imagine mtoto mdogo anafanyiwa uharamia wa kulawotiwa ,kuvunjwa viungo na unyama mwingine kiasi hiki kisa chuki za Wanawake tena Wana ndugu.

View: https://youtu.be/OfsRwKRi5Zw?si=lVKDW5mNYtrJRepo

My Take
Mpaka hapa nimethibisha kwamba Mwanamke hawezi kabisa kuleta mtoto ambae sio damu yake.

Aisee Dunia imejaa watu makatilo sana wasio na chembe ya utu.
 
Aisee...
Hata na hivyo ahimidiwe Mungu maana kwake yote yanawezekana kupitia watu wake 🤭
 
Sijaangalia video ila watu wote wanaomlalamikia anawasaidiaje anarekebishaje system kuwe na fair justice
Kumbe umekimbilia ku comment bila hata ya kuangalia na kujua kilichomo katika video!!

Anyway... kumlalamikia mtu kwa namna hii haimaanishi kuwa mlalamikaji unalalamika ili yeye asaidie kuirekebisha system. Bali unaweza kulalamika ili matatizo yako yaweze kujulikana na kufika hata kule ambapo yasingeweza kufika.

Mfano hayo aliyoyasema huyo dada kuhusu unyama aliofanyiwa mtoto wake, mimi na wewe hatukua tunayajua licha ya kuonekana kuwa matatizo yake ni makubwa na ya muda mrefu, pia inaonesha ameshafika katika ngazi mbali mbali kama vile mahakamani, ustawi wa jamii nk bila kupatiwa msaada wowote wa maana.

Lakini leo tumeweza kuyajua kupitia mkutano wa Makonda, hivyo hata kama yeye hatochukua hatua ya kumsaidia chochote, lakini wapo watu aidha wa serikali au wa kawaida ambao wataweza kuguswa na tatizo lake hivyo kuchukua hatua aidha kwa kuifuatilia kesi yake ili haki itendeke, au kwa kumsaidia tu kupitia msaada mungine wa kifedha, kimatibabu nk ambao bila kutumia fursa ya Makonda kuelezea kilichomsibu pengine mimi, wewe na hao wengine wasingeweza kujua kilichomsibu.

Hapo tu katika mkutano huyo dada kaondoka na zaidi ya M5, kakatiwa bima ya afya ya kudumu na mengine ukiangalia video utayasikia. Kama asingefika kulalamika sidhani kama hizo hela angezipata na hiyo favor ya kukatiwa bima angeipata
 
Back
Top Bottom