Isimilo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 217
- 6
pia nilipo sikiliza jerry akiongea wakati wa kipindi cha usiku wa habari TBC. na nilipomsikiliza asubuhi wakirejea maelezo yale inaonekana kama Jerry alibadilisha mazungumzo kwani kuna baadhi ya maneno sikuyasikia na baadhi ya maneno yaliongezwa upya.
kwa mfano pale usiku ambapo ilikua live hakusema kama yeye ndoalichangia waziri mkuu awafukuze wale jamaa kwa kutoa habari zao lakini wakati wa asubuhi ikiwa tayari ni recorded aliongea kitu hicho.
pia kwenye habari ya asubhi alidai alikua nanajiandaa kwenda kanisani lakini ingawa jana alidai kitu kingine.
kuonekana hawa jamaa wamejhariri maongezi ya jwerry pale studio marak kadhaa.