Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,002
- 8,122
Amekwenda polisi kushtaki kiwa fulani alitaka kuniua ? Au kila siku ni kwenye media tu?..jaribio la kumuua Lissu ni kosa la jinai.
..kwa sheria za Tanzania jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.
..kwa msingi huo Lissu hana mamlaka ya kuwakamata, na kuwashtaki, waliomshambulia, hata kama anawajua.
Namkubali Lissu, ila katika hili hebu atake next step sio kulia lia tu, aende polisi, awape maelezo yake, kisha tuone polisi watamkataa au lah, sasa kubaki na assumptions kibao na hataki kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi inaonekana kama anatumia tatizo kupata milage ya kisiasa tu