Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

miss chagga Siyo umri tu unaenda bali pia vitu anavyotumia kama vile mkorogo, dawa za kutengeneza makalio vyote vina expire date zake ndio maana naye ameanza kuexpire. Kuna siku atakuwa hafai kabisa kwa matumizi ya binadamu. Na hali ngumu ya ukata nayo inamla taratibu hasa kule usoni.
jamani jamani bora uwe natural tu hata mafuta ya kupikia unapaka mtu hajui.. kweli anahaaribika
 
miss chagga Siyo umri tu unaenda bali pia vitu anavyotumia kama vile mkorogo, dawa za kutengeneza makalio vyote vina expire date zake ndio maana naye ameanza kuexpire. Kuna siku atakuwa hafai kabisa kwa matumizi ya binadamu. Na hali ngumu ya ukata nayo inamla taratibu hasa kule usoni.
Na uzinzi pia unachosha mwili...hasa mwanamke ukiwa wa kubadilisha wanaume kila mwezi lazima uchoke haraka..waswahili waita KUJITUNZA,ukijumlisha na pombe anazokunywa + kufulia ndio kabisaaa,maana Wema sasa hivi amefulia sio mchezo
 
Alizoea kumsukuma Idris adanganye watu kama vile wapo wote, kumbe kijana amejielewa sasa. Hataki balaaa wala ukaribu ule uongo waliotumia kusaka pesa na hawakufanikiwa. Ila tunajua alikula hata za kitandani ulitusha bibi wewe, uso umechomwa sindano zingine DUH.
 
Huyu si Mtanzania kabisa jamani au alishawahi ishi nje?
Mbona anaongea kama kiswahili kajifunzia ukubwani wakati kakua nacho jamani?
Yaani kuna watu wanajifanyaga Mungu alikosea kuwaweka Tz.
Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
 
Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
Anhaa sikujua. Kama kakaa nje kumbe. Basi sawa.
 
Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
Watoto wa mabalozi sio familia bora kama unavotaka tuamini, na kukulia nje ya nchi haimaanishi wewe Ni special kuliko wengine wako wengi wa namna Hiyo choka mbaya sijui kwa nini mnakua na notion ya namna Hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom