VIDEO: Hotuba ya M/Kiti wa CHADEMA Taifa wakati akifungua Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu

Ni kituko kwa chama kinachojiita makini kuruhusu mwenyekiti msanii msanii kama huyu mbowe na hotuba ya ajabuajabu iliyorushwa leo kwenye hii jamii forum. Inawezekanaje chama kumlalamikia rais kikwete eti kwa nini aliamua kwenda kampala kuhudhuria usuluhishi wa kongo na kuacha kwenda kumzika mwangosi. Lakini chama hicho hicho kililazimisha kwenda kwenye msiba na kukutana na professor mark mwandosya ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya rais. Kama chadema haaminiani ndo maana katibu wa chama anakwenda kufungua matawi vijijini tena kwa kulazimisha na kukataa kutii sheria pasipo shuruti. Halafu kamati inakaa kusikiliza porojo za kufungiwa mwanahalisi, ulimboka kutekwa nyara. Haya yoote kwa jamii ni historia. Watanzania tunamambo mengi ya kufanya kuliko haya ambayo chadema wanajidanganya kuwa ni matatizo. Inatia shaka kama hawana mkono kwenye hizi makala za mwanahalisi na migomo ya madaktari. Tunapata funzo gani kuhusu umakini wa hikichama?
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.

kumbuka wanatumia kodi zetu.tunauwezo wa kukisema na kukilazimisha kurusha matangazo kwani hakitemdi haki wakati kinatumia kodi za watanzania
 
Hakuna kuchemka hapo. Ni kweli kipeperushi tu. TBC HATA WAKIACHA KURIPOTI HABARI ZA CDM. POA TU. HAWANA IMPACT KWA SASA KWENYE JAMII YA TZ. WAACHE WAFE NA CCM YAO. KAMANDA MBOWE BIG UP......
 
Ni kituko kwa chama kinachojiita makini kuruhusu mwenyekiti msanii msanii kama huyu mbowe na hotuba ya ajabuajabu iliyorushwa leo kwenye hii jamii forum. Inawezekanaje chama kumlalamikia rais kikwete eti kwa nini aliamua kwenda kampala kuhudhuria usuluhishi wa kongo na kuacha kwenda kumzika mwangosi. Lakini chama hicho hicho kililazimisha kwenda kwenye msiba na kukutana na professor mark mwandosya ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya rais. Kama chadema haaminiani ndo maana katibu wa chama anakwenda kufungua matawi vijijini tena kwa kulazimisha na kukataa kutii sheria pasipo shuruti. Halafu kamati inakaa kusikiliza porojo za kufungiwa mwanahalisi, ulimboka kutekwa nyara. Haya yoote kwa jamii ni historia. Watanzania tunamambo mengi ya kufanya kuliko haya ambayo chadema wanajidanganya kuwa ni matatizo. Inatia shaka kama hawana mkono kwenye hizi makala za mwanahalisi na migomo ya madaktari. Tunapata funzo gani kuhusu umakini wa hikichama?

Ona hili nalo!!
 
Duh ya kwangu imeonyesha yale maandishi ambayo yalikuwa yakitumiwa na mchoraji wa gazeti la sani pale ambayo ndumilakuwili anapopata kipondo s%#gn#*@%&#65510;€§^<{€¥¿»®©$€`°¥¡
 
Ninachosikitika na kuniuma ni kuwa, kodi yangu inatumika visivyo. Kama TV ya Taifa ilibidi iwe fair kwenye kutoa habari bila kuwa chombo cha habari cha kupigia propaganda chama fulani. Taifa linajumuisha watu wa itakadi mablimbali, hivyo kuegemea chama kimoja ni kuwakilisha kikundi cha watu wachache na kutowatendea haki walio wengi.
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.

kwani kwa sasa TBC inatangaza habari za CHADEMA!!!!!
 
Ni kituko kwa chama kinachojiita makini kuruhusu mwenyekiti msanii msanii kama huyu mbowe na hotuba ya ajabuajabu iliyorushwa leo kwenye hii jamii forum. Inawezekanaje chama kumlalamikia rais kikwete eti kwa nini aliamua kwenda kampala kuhudhuria usuluhishi wa kongo na kuacha kwenda kumzika mwangosi. Lakini chama hicho hicho kililazimisha kwenda kwenye msiba na kukutana na professor mark mwandosya ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya rais. Kama chadema haaminiani ndo maana katibu wa chama anakwenda kufungua matawi vijijini tena kwa kulazimisha na kukataa kutii sheria pasipo shuruti. Halafu kamati inakaa kusikiliza porojo za kufungiwa mwanahalisi, ulimboka kutekwa nyara. Haya yoote kwa jamii ni historia. Watanzania tunamambo mengi ya kufanya kuliko haya ambayo chadema wanajidanganya kuwa ni matatizo. Inatia shaka kama hawana mkono kwenye hizi makala za mwanahalisi na migomo ya madaktari. Tunapata funzo gani kuhusu umakini wa hikichama?

Malaria Sugu
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha luninga cha ITV nimemwona Kamanda Mbowe akieleza masuala mbalimbali yaliyojiri katika kikao cha dharura cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika UBUNGO PLAZA Jijini Dar es Salaam.

Ameongea mambo kadhaa lakini kilichonifurahisha ni namna

alivyoibatiza TBC na kuiita KIPEPERUSHI CHA CCM

Je, mnaonaje jina hilo si linapendeza sana?

Haswaaaaaaa! Nimeipenda sana!!
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui?

Wagome mara ngapi kutangaza?! siku zote wamekua wakipotosha na kuweka propaganda hata kwenye mambo ya msingi kwa nchi yetu. Hilo halina tofauti na kugoma!
Uzuri siku hizi televisheni ziko nyingi na mitandao ya kijamii pia hivyo mwisho wa siku ukweli hujitenga na propaganda.
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.
Hujui unachoongea wewe jamaa. Bila shaka Mheshimiwa Mbowe anaenelewa,and ofkoz its very obvious,TBC is biased. Fuatilia coverage ya habari za Chadema kwenye TV hiyo utaelewa. TBC walipaswa wasiwe na upande wowote katika Vyama vya siasa. Ile inaendeshwa kwa kodi zetu,bila kujali wewe ni gamba au gwanda.
Lakini siku si nyingi,watajuta. Chadema itawashikisha adabu vibaraka wote na wahujumu wa Demokrasia na Maliasili za Nchi.
 
Pole sana. MAENDELEO YA NCHI LAZIMA YALETWE KUPITIA DEMOKRASIA. NA SIO UTAWALA KANDAMIZI. CDM INATIA CHACHU DEMOKRASIA YA KWELI. CCM NA MFUMO WAKE KANDAMIZI INAHAHA KWA KUUA RAIA WASIO NA HATIA. CCM INAONDOKA. KAMANDA MBOWE HUREEEEEEE.
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.
Wewe ndio unaumwa kweli, na wewe pia mbona ni kipeperushi cha CCM. Kwani hao tbc wasipotangaza habari za CHADEMA ndio kitakufa? tena ndio kitapanda chat, kabla ya kuchangia uwe unafikiria kwa kutumia akili, lakini kwa kuwa nawe ni kipeperushi sikushangai. Toka lini ukaona tbc inatangaza mazuri ya chadema? na hicho ulichoita kituo cha habari cha taifa kina msaada gani kwa taifa? kuonyesha ccm tu? wanashindwa kuonyesha matukio muhimu ya hapa tz wanaonyesha upuuzi mtupu. kakoje ulale:bange::bange::bange:
 
Ni kituko kwa chama kinachojiita makini kuruhusu mwenyekiti msanii msanii kama huyu mbowe na hotuba ya ajabuajabu iliyorushwa leo kwenye hii jamii forum. Inawezekanaje chama kumlalamikia rais kikwete eti kwa nini aliamua kwenda kampala kuhudhuria usuluhishi wa kongo na kuacha kwenda kumzika mwangosi. Lakini chama hicho hicho kililazimisha kwenda kwenye msiba na kukutana na professor mark mwandosya ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya rais. Kama chadema haaminiani ndo maana katibu wa chama anakwenda kufungua matawi vijijini tena kwa kulazimisha na kukataa kutii sheria pasipo shuruti. Halafu kamati inakaa kusikiliza porojo za kufungiwa mwanahalisi, ulimboka kutekwa nyara. Haya yoote kwa jamii ni historia. Watanzania tunamambo mengi ya kufanya kuliko haya ambayo chadema wanajidanganya kuwa ni matatizo. Inatia shaka kama hawana mkono kwenye hizi makala za mwanahalisi na migomo ya madaktari. Tunapata funzo gani kuhusu umakini wa hikichama?

Saa nyingine hebu fikiria kabla ya kuandika mwenyewe unajua.tbc iko upande upi. Mbowe ameongea hayo baada ya tbc kuanza kurusha mikutano ya Arusha ambapo fujo zilitokea
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.
Itakuwa safi sana wakiacha..sababu TBC mara nyingi watangazapo habari za CDM ni kuiponda, kukejeli na kujenga taswira hasi kwa wananchi kuhusu CDM.
Maneno aliyotumia ni sawa kabisa, tena kawastahi..kuna maneno matamu zaidi ya hayo yanayofaa kuitwa TBC. Kituo chetu cha taifa kinachoendeshwa na pesa za walipa kodi wote wamekifanya vuvuzela ya CCM
 
Back
Top Bottom