Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.
Viongozi wenu wa CCM huwa hawaongei ovyo, ina maana umemuona SLAA tu ndio amekosa??