Video editing programme inayobadilisha original video background

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Naomba kujuzwa juu ya hii programme lakini nataka inayo-operate katika Window not mac

Naomba pia ufafanuzi.
Ukitazama studio nyingi za TV wakati wa news hasa Channel ten,Star tv na TBC wasomaji wa news hupigwa picha wakiwa katika vyumba vya kawaida lakini background zinazoonekana zikibadilika badilika huzitengeneza via computer,je ni programme gani wanatumia?

nitashukuru sana
 
Nyuma ya Watangazaji kuna blue/green screen na tendo hilo kwenye editing inaitwa Chroma key unaweza kutumia Premiere Pro au Magix Pro kufanya chromagane effects
 
Naomba kujuzwa juu ya hii programme lakini nataka inayo-operate katika Window not mac

Naomba pia ufafanuzi.
Ukitazama studio nyingi za TV wakati wa news hasa Channel ten,Star tv na TBC wasomaji wa news hupigwa picha wakiwa katika vyumba vya kawaida lakini background zinazoonekana zikibadilika badilika huzitengeneza via computer,je ni programme gani wanatumia?

nitashukuru sana
Rutunga M, program zote za editing zina chorma key ila tuu watu wako wasivae nguo za blue!.
Kama unatumia mac, windows za nini?. Prog ya mac ni final cut pro, ina edit kwa real time, program zote za windows zinachukua muda mrefu sana kurender materias za HDV.
 
Asante,Lakini mimi natumia DV format kwa sasa siyo HDV.Pia Final Cut is only for mac ambazo sina
tatizo la kuchelewa kwa window siyo tatizo kubwa kwangu kwani sifanyi kazi kubwaaa,fupu fupi tu
nimejaribu kudwnloadd hizo magix pro naona ina 354MB na sijui kama hiyo ni trial ama vipi.Lakini kwa mwanga huu nawashukuru sana

JF 4 L!
 
Mkubwa,Zunguka zunguka hoja lakini kama unafanya video editing ni lazima utumie Computer na OS za MAC,vinginevyo ni kucheza tu.
 
Ni uzushi kuwa unahitaji mac kufanya editing halina ukweli wowote, dollar for dollar kwenye windows utapata compyuta nzuri zaidi.
kweli kabisa tena kwa bei unayotumia kununua MAC basi utapata kompyuta yenye uwezo wa wa hali ya juu ya windows.

Sidhani ni mpaka uwe na computer ya mac nio ufanye quality graphics editing. una chohitaji ni kuwe na computer hatakama ni widnows yenyew uwezo mkubwa wa kuhandle graphics. Zipo computer za windows zenye specs nnuzri tu.

Mi nadhani wanaosema ni Mac tu ndio inafaa kwenye mambo ya graphcs editing wanakuwa washabiki zaidi
 
Ni kweli kabisaaaaaaaa?!!
Mie natumia window kwa video editing kwa miaka mingi tu!
Labda ndugu zetu Mzizi Mkavu na Mtazamaji jaribu kutupa specification ya pc inayoweza kuhandle vizuri graphics katika window.
Mie natumia PC iliyo na window XP. More details HP AMD Athlon 64 Processor 3800+ 2.40 GHz 2GB RAM.
Kwa editing natumia Adobe Premier CS 5.5 na mambo ni bomba.
Kama kuna mtu anaweza kutupa specification ya nyingine itakuwa vizuri zaidi.
 
Chukulia mfano wa system requiremnt za adobe CS5.5 Master collection. Master collection ya adobe ina application hizi zaidi ya(15)
Photoshop® CS5 Extended
Illustrator® CS5
InDesign® CS5.5
Acrobat® X Pro
Flash® Catalyst® CS5.5
Flash Professional CS5.5
Flash Builder® 4.5 Premium Edition
Dreamweaver® CS5.5
Fireworks® CS5
Contribute CS5
Adobe Premiere® Pro CS5.5
After Effects® CS5.5
Adobe Audition® CS5.5
Adobe OnLocation™ CS5
Encore® CS5
Bridge CS5
Device Central CS5.5
Media Encoder CS5.5

Sada adobe wanapenndekza system requireent za mshine ziweje . NB agalia kuna requiremet ambayo inaweza kuwa ndgo lakini kuna recomended ( Moja wapo ni RAM iwe zaidi ya 2GB kwa windows) ili mtu ufanye kazi kwa ubora wa hali ya juu

System requirements for cs 5.5 Master collection

Windows

  • Intel® Pentium® 4 or AMD Athlon® 64 processor (Intel Core™ i3, i5, or i7 or or AMD Phenom® II recommended); Intel Core 2 Duo or AMD Phenom II required for Adobe® Premiere® Pro; processor with 64-bit support required for Adobe Premiere Pro and After Effects®
  • Microsoft® Windows® XP with Service Pack 3; Windows Vista® Home Premium, Business, Ultimate, or Enterprise with Service Pack 2; or Windows 7; 64-bit edition of Windows Vista or Windows 7 required for Adobe Premiere Pro, After Effects, and the Subscription Edition of Master Collection
  • 2GB of RAM (4GB or more recommended)
  • 24.3GB of available hard-disk space for installation; additional free space required during installation (cannot install on removable flash storage devices)
  • 1280x900 display (1280x1024 recommended) with qualified hardware-accelerated OpenGL graphics card, 16-bit color, and 256MB of VRAM
  • Adobe-certified GPU card for GPU-accelerated performance in Adobe Premiere Pro; visit Tech specs | Adobe Premiere Pro CS5.5 for the latest list of supported cards
  • Some GPU-accelerated features in Adobe Photoshop® require graphics support for Shader Model 3.0 and OpenGL 2.0
  • Some features in Adobe Bridge rely on a DirectX 9–capable graphics card with at least 64MB of VRAM
  • 7200 RPM hard drive for editing compressed video formats; RAID 0 for uncompressed
  • Adobe-certified card for capture and export to tape for SD/HD workflows
  • OHCI-compatible IEEE 1394 port for DV and HDV capture, export to tape, and transmit to DV device
  • Sound card compatible with ASIO protocol or Microsoft Windows Driver Model
  • DVD-ROM drive compatible with dual-layer DVDs (DVD+-R burner for burning DVDs; Blu-ray burner for creating Blu-ray Disc media)
  • J

Mac OS

  • Multicore Intel® processor with 64-bit support
  • Mac OS X v10.5.8 or v10.6; Mac OS X v10.6 required for Adobe Flash Builder™ 4.5 Premium Edition and Flash Builder integration with Flash Catalyst® and Flash Professional; Mac OS X v10.6.3 required for GPU-accelerated performance in Adobe Premiere Pro
  • 2GB of RAM (4GB or more recommended)
  • 26.3GB of available hard-disk space for installation; additional free space required during installation (cannot install on a volume that uses a case-sensitive file system or on removable flash storage devices)
  • 1280x900 display (1280x1024 recommended) with qualified hardware-accelerated OpenGL graphics card, 16-bit color, and 256MB of VRAM
  • Adobe-certified GPU card for GPU-accelerated performance in Adobe Premiere Pro
  • Some GPU-accelerated features in Adobe Photoshop require graphics support for Shader Model 3.0 and OpenGL 2.0
  • 7200 RPM hard drive for editing compressed video formats; RAID 0 for uncompressed
  • Core Audio–compatible sound card
  • DVD-ROM drive compatible with dual-layer DVDs (SuperDrive for burning DVDs; external Blu-ray burner for creating Blu-ray Disc media)
  • Java Runtime Environment 1.6
  • Eclipse 3.6.1 Cocoa version required for plug-in installation
  • QuickTime 9 software required for QuickTime and multimedia features
  • Adobe Flash Player 10 software required to export SWF files and to play back DVD projects exported as SWF files
  • Broadband Internet connection required for online services and to validate Subscription Edition (if applicable) on an ongoing basis*

Sasa huu ni mfano wa laptop za za windows zinaweza kupiga mzigo bila usumbufu kwa full package ya cs5.5 Master collection

ASUS G73JW-A1 bei $1500 - $2000 kutegemea na model

.Toshiba Satellite A665-3DV8 -
HP ENVY 17 Laptop

Sony VAIO F Series

Sasa Mac yenye perfomremce sawa na Asus G73JW au hizo mshine chache za winws nilizotaja hapo juu inauzwa zadii ya $ 2400. So unaweza kupata mashine yenye uwezo mkubwa ya windows kwa $ 2000 na ikachapa mzigo vizuri sana kama mac na ukawa umeokoa karibu $ 400
 
Labda wanaosema kuwa Mac is better watupe technical reasons why the come to that conclusion.
 
Ni kweli kabisaaaaaaaa?!!
Mie natumia window kwa video editing kwa miaka mingi tu!
Labda ndugu zetu Mzizi Mkavu na Mtazamaji jaribu kutupa specification ya pc inayoweza kuhandle vizuri graphics katika window.
Mie natumia PC iliyo na window XP. More details HP AMD Athlon 64 Processor 3800+ 2.40 GHz 2GB RAM.
Kwa editing natumia Adobe Premier CS 5.5 na mambo ni bomba.
Kama kuna mtu anaweza kutupa specification ya nyingine itakuwa vizuri zaidi.

aisee natafuta cs5 naweza pata.
 
Back
Top Bottom