Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

Yeh yeh yeh...uh uhwiiiii
-----<<<<Isaiah 14:13 >>>------

13"But you said in your heart,
&#8216;I will ascend to heaven;
I will raise my throne above the stars of God,
And I will sit on the mount of assembly
In the recesses of the north.

14
&#8216;I will ascend above the heights of the clouds;
I will make myself like the Most High.
'

15
"Nevertheless you will be thrust down to Sheol,
To the recesses of the pit.


16
"Those who see you will gaze at you,
They will ponder over you, saying,
&#8216;Is this the man who made the earth tremble,
Who shook kingdoms
,

17
Who made the world like a wilderness
And overthrew its cities,
Who did not allow his prisoners to go home?'

 
Hii mbona iko clear...

Hamna sehemu aliyomtaja Zitto kuwa Rais zaidi ametaja hatoshangaa kuona rais wa Jamhuri wa miaka ijayo kutokea Kigoma. Kwani Kigoma yuko Zitto peke yake? Anaweza akawa Kafulila, Zitto au Eng Chiza.

Sasa hapa ndio unaweza kuupata ukweli wa gazeti la Mwananchi uko wapi.
 
Hii mbona iko clear...Kwani Kigoma yuko Zitto peke yake? Anaweza akawa Kafulila, Zitto au Eng Chiza. Sasa hapa ndio unaweza kuupata ukweli wa gazeti la Mwananchi uko wapi.
Mambo ya kujimegea na kujiona bora, juu zaidi ya wengine na kitu kingine chochote kile...U-MIMI!

Na kwa nini basi isiwe Nasari alimaanisha Mwasiti-Mratibu wa Tamasha lililofana na awe Zitto??!
 
Zittoooooooooooooooooooo

Utatakuwa janga la kitaifa; Kwa design hii wewe ndo unachelewesha ukombozi huna tofauti na mkoloni mweusi (CCM)
 
Nassari alichokisema ndani ya miaka 5 ,10 au 15 Rais anaweza toka kigoma je 2015 kuna miaka inayoingia hapo? Zitto kwanini anakuza hili?

Nassari alichosema ni ummoja walionao wana kigoma unaweza pelekea kupata Rais . Je Zitto ndio mtu pekee anasifa za kuwa rais kwa Wanakigoma wote? Mi nashangaa hata Twitter na facebook anaendeleza kuwa alichokisema Nassari.

Mbona yanayosemwa ni tofauti na yaliyosemwa na Nassari? Tunaona, tunaweza kusoma hata hata kusikia kwanini tunadanganywa na kuchanganywa juu ya hili? Hata mtu asiyeelewa ni wazi haya yapo wazi
 
Gazeti la Mwananchi linatakiwa kuomba radhi..

Nassari alikuwa clear.. Kasema Kigoma kuna vipaji vingi kuanzia kucheza mpira, wasanii mpaka wanasiasa. Hatashangaa kuona Kigoma ikitoa raisi... KIGOMA... Na hakusema KIGOMA kaskazini.....

AU kigoma mwanasiasa ni ZITTO peke yake...?
 
Mlitegemea mtasikia tofauti na akina nassari?.......zitto janga la taifa sijui nani anamdanganya wkt sisi tunajua yeye ni 30% cdm na 70% ccm?
 
Ukweli husemwa:

Ilisemwa usihukumu kabla hujahukumiwa.

Haya sasa, hizo ndizo siasa ya Tanzania. Hata wanasiasa vijana tuliwategemea kuwa wakweli, wenye muono na wanasimamia wanachokisema kwa hili wametufundisha somo nzuri na la msingi.
 
Back
Top Bottom