frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Ndugai kinachomkalisa kwenye ubunge ni ndumba alizoachiwa na mama yake ...
Maneno huumba mkuu?!
Ndugai kinachomkalisa kwenye ubunge ni ndumba alizoachiwa na mama yake ...
Wakuu hizo tshirt zinapatikana wapi?
CHADEMA ni tishio kubwa sana kwa CCM. Tatizo la Ndugai ni zaidi ya kuwa gamba, bali ufupi nao unachangia anakosa confidence bali anakuwa na kiburi kama cha njomba nkapa!
Teh. . .teh. . .teh. . .!
VIVA CHADEMA.
Pro-CHADEMA wanaulizana upatikanaji wa t-shirt hata wakati wa mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ni hawa hawa walikuwa wanaulizani upatikanaji wa T-shirt wakati ndiyo wajumbe wa mkutano. Akili mkichwa!!
Mkutano wa jimboni kwa Job Ndugai, Kongwa umeonyesha jinsi gani CHADEMA wanavyotaka kutuaminisha na propaganda za kitoto. Picha zina lugha yake na kwa wale tunaweza kuisoma hatuna cha kuongeza.