VIDEO: CHADEMA wavuruga jimboni kwa Naibu Spika Job Ndugai

Jamani kwani gharama ya kurecord kila mkutano full time ni shilingi ngapi tuwe tunachangia bwana! maana mnatukatili na vipande!

Chadema wawe wanarecord hii mikutano hasa ile mikubwa na kupeleka CD zake sehemu ambazo elimu ya uraia haijafika. Zitasaidia sana kuwaweka watu katika hali ya kuwasubiri ili kuona live!. Mimi naamini kwa asilimia 100 record za mikutano ya CDM inaweza hata kuuzwa na ikanunuliwa kuliko hata muziki wa bongo flava!

Mkuu makene changamkia hii kitu mnaweza kuidharau lakini inaweza kuiumiza CCM huko vijijini. Ningetamani viongozi wa chadema ambao wako sehemu ngumu wapewe hizi CD ili ziwasaidie katika kuwaelimisha watu maana ya Chadema. Wanaweza hata kuitumia kwenye mikutano yao kuonyesha kuwa chadema inakubalika sehemu kubwa hapa nchini hata kama hapo kwenye eneo lake hawaifahamu!
 
Wale wanaotaka still pics...

Hapa ilikuwa ni Kibaigwa. Watu walikuwa wengi kiasi kwamba magari yalilazimika kusimama pembeni na kukahitajika msaada wa trafiki wakati wananchi walipotoka eneo la uwanja wa mkutano kwenda kwenye ufunguzi wa Ofisi ya CHADEMA Kata ya Kibaigwa.

More pics to come...video and still pics.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1367064970.934299.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1367064970.934299.jpg
    132.5 KB · Views: 184
  • ImageUploadedByJamiiForums1367065009.810094.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1367065009.810094.jpg
    114.1 KB · Views: 155
Kazi imeanza. Mpaka mwisho wa bunge la budget tutasikia na kuona mengi. Hongereni sana kwa kuwafikia wananchi hadi maeneo ya vijijini.
 
Mkuu Dingswayo asante sana japo bado ni "trela" badala ya picha kamili. Hii kitu inatakiwa ije nzima badala ya vipande vipande mkuu.
 
Last edited by a moderator:
In short, 2015 Ndugai has to go out bila kujali hilo jimbo litachukuliwa na chama gani. Huyu ame-prove failure totally kuanzia jimboni kwake na huko Bungeni ambako ni "kiongozi". Hii mijitu isiyokuwa na busara ya uongozi yapasa kuachia ngazi.
 
Hewala!!!!!!!!!! Ngoma ya mabadiliko sasa mhala pake kw sana mpaka somo kueleweka Makamanda.
 
Hii inaweza fanya Ndugayi leo akaweka kifungu kingine cha kutokutumia jina lake.Kwa kifupi magamba wanapata homa kali sana ya kisiasa.
 
CHADEMA ni tishio kubwa sana kwa CCM. Tatizo la Ndugai ni zaidi ya kuwa gamba, bali ufupi nao unachangia anakosa confidence bali anakuwa na kiburi kama cha njomba nkapa!
Teh. . .teh. . .teh. . .!
VIVA CHADEMA.
 
U have hit the nail on the head...kama ni kisu umekizamisha kwenye mfupa kabisa.

Inferiority complex...anapaswa kupambana na hako ka ugonjwa...
 
Pro-CHADEMA wanaulizana upatikanaji wa t-shirt hata wakati wa mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ni hawa hawa walikuwa wanaulizani upatikanaji wa T-shirt wakati ndiyo wajumbe wa mkutano. Akili mkichwa!!

Mkutano wa jimboni kwa Job Ndugai, Kongwa umeonyesha jinsi gani CHADEMA wanavyotaka kutuaminisha na propaganda za kitoto. Picha zina lugha yake na kwa wale tunaweza kuisoma hatuna cha kuongeza.
 
[video=youtube_share;w9CWznOR-wY]http://youtu.be/w9CWznOR-wY[/video]
 
Back
Top Bottom