Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

Kumbe <wandosya naye hafai? basi hakuna chema chawezatoka ccm, sasa nauliza hivii! kwa vile Mwandosya anaumwa si watakuwa wanamchakachua sana? mimi nafikiri ccm wakiachishwa madaraka asilimia kubwa hawatazidisha 4yrs watakuwa wamekufa kwa ngoma maana ni majasiri wa kupokezana vijiti.

Inamana uamsho unaohubiriwa na cdm haujafikiwa nao?
Funguka mtanzania
 
Wanawake kama huyu bibi ndio wanatufanya wanawake tudharaulike kila tunakoenda!
Anasifia nini huyu?Kama kaolewa na huyo mme wake mtanashati, sisi inatuhusu vipi?
Atuondoleee shombo na janaba hapa!
Mwanaume mwenyewe zoazoa, tena mgonjwa.
 
Aolewe na nani wakati wengi wanajiservia?

Kuna jamaa yangu kapita pale niko naye hapa wa ccm, anasema kitu is very used kile, kama ni mtumba wa Gari basi siyo wa Japan wala dubai wala Dar bali ni used ya Mirerani ambayo mwanaapollo ameishiwa kachoka akauza, anasema kitu imekuwa bokoboko imelegea kama balloon ilopitishwa karibu na moto! jama kanichekesha kweli.
 
Hilo ni dongo live kwa first lady Salma ila huyu binti kakosea sana hata kama anaji-sevia kwa mkubwa siyo hivi hata kama mzee kajitahidi mpaka upate uheshimiwa!

Dada tafuta mme mwingine huyo anawenyewe mm najua kazi ya usanii hapa hakulenga chama kama wengi walivyomshangilia kuwa anakisifu chama ila alimlenga mkulu.
 
yani huyu mwanamke ni mwehu kweli, haiwezekani mtu mzima mwenye akili timamu akaongea/ akaimba upumbavu huo mbele za watu hata kama anaipenda ccm kiasi gani, kuifananisha CCM na MUME ni ukosefu wa akili, naipenda CHADEMA SANA ILA SIWEZI KUSEMA CHADEMA NI MUME WANGU HATA SIKU 1.

Nakumbuka kampeni ya urais mwaka 2010 pale usa river, kuna Mwanamke mmoja alihudhuria Mkutano wa kampeni wa Ccm akawa anaimba anakata mauno anasema hakuna mwanaume kama Kikwete na mume wake wa Kimeru alikuwepo, akakasirika akamchukua akampa kipigo cha kufa mtu kwa kumdhalilisha, mwisho kamtandika talaka. huo ndio msingi, nilipenda sana
 
chakula huyo dada mimi namjua nimemalza nae SAUT BBA, GPA alikuwa nayo ni mbovu lakini direct alipata kazi Bank of tz(BOT) Kabla ya kupewa vt maalumu.
 
Hiyo ngoma mbona ni ya jamaa tangu kitambo?Mbona kuna wasanii kibao,hata SUGU angewafaa sana,Viky analipa fadhila,si msanii,hana jipya,hivi hana wimbo mwingine?Kafie mbali na u.m.a..... wako.
 
Nakumbuka kampeni ya urais mwaka 2010 pale usa river, kuna Mwanamke mmoja alihudhuria Mkutano wa kampeni wa Ccm akawa anaimba anakata mauno anasema hakuna mwanaume kama Kikwete na mume wake wa Kimeru alikuwepo, akakasirika akamchukua akampa kipigo cha kufa mtu kwa kumdhalilisha, mwisho kamtandika talaka. huo ndio msingi, nilipenda sana
safi sana
 
Huo wimbo tu alioimba unanifanya niwe na mashaka na elimu yake...watz wengine hatujaolewa na chama chochote

Mkuu kwani hujui kuwa ni graduate wa SAUT mwanza?Tena ile ya kipindi kile wakati inatoa degree za vichupi,Na haya ndiyo matunda yake!!He he heeeee!!Kaazi kweli kweliii!!
 
Mkuu kwani hujui kuwa ni graduate wa SAUT mwanza?Tena ile ya kipindi kile wakati inatoa degree za vichupi,Na haya ndiyo matunda yake!!He he heeeee!!Kaazi kweli kweliii!!

mkuu digrii ya vichupi ndo zp hzo?
 
Nimesoma kauli zako humu!unamaanisha umeolewa n ccm yupi?au ni wote?nami nikihama ccm ntapata!teh teh teh teh!kama ndiyo itbd nkuje huko kwa muda nikimega tu nasepa zangu upinzani
 
ni aibu kwa mwanamke hata kama unamapenzi vipi na chama, anaposema ameolewa na CCM tumuelewe vipi, maana CCM ni ya vigogogogogogo kwa hiyo hao ndio waume zake anatutangazia sisi, ETI CCM AMENIOA hana hata aibu/soni. AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHHHHHHHHh!! aibu
 
lugha nyingine hizi!!!!! Hakupata ushauri? Kwa nini asingetunga wimbo wa kuguza jinsia zote, wanaume na wanawake ambao ni wanachama wao?
 
humu jf?tupe link,halafu acha kuandika kimkatomkato na wasiwasi ova unakunya porini
 
Huyu kwa wimbo huu hana heshima , hekima wala akili .Ina maana Baba yake kaolewa , kaka zake wameolewa na CCM , Mama na ndugu wameolewa na CCM.Kweli ukisha kuwa unavuliwa tuuuuuuu unaweza kudhani kila mtu huvuliwa pia hadi unakosa busara. Laana yake izidi kumbana huyu njugumawe.

Wanadhani Tanzania ni ile ya miaka ile ?
 
Back
Top Bottom