Vichwa hivi vya mkwawa(complex) viko wapi?

Mkwawa 1991-94,wameanzisha jumuia ya mkwawa complex mara kwa mara wanakutana.hii jumuia ina connect watu wengi sana.
 
Dah mi nazani tungeikuza ikajumuisha watu wa maiaka yote ndio ingekua na nguvu sana sana,au we unaonaje?manake mi naona historia ya shule hii inakufa kabisa
Mkwawa 1991-94,wameanzisha jumuia ya mkwawa complex mara kwa mara wanakutana.hii jumuia ina connect watu wengi sana.
 
Kwa wale wadau waliosoma mkwawa high school(complex) kwenye miaka 2001-2004 wanakumbuka vichwa hivi tuambiane viko wapi na vinafanya nini sasa?

(1) mr.mbao-huyu alikua headmaster enzi hizo

(2)mr.tende alikua second master mzee wa kosa la kurudiarudia makosa!!

(3)orestes sotta-huyu alikua head prefect 2002 dogo alikua very influential alikua namwaga speach kali sana mkwawa yote inakua kimwa!

(4)pastor mbufwe-kijana mtata sana wa matukio

(5) prof utunguru-binwa wa mazingaombwe pale mkwawa!

(6) mzee chua na nelkon wa makanyagio kwenye mabanzi

na wengine tukumbushane wadau wa mkwawa comlex..dah lilikua bonge la shule hili!!

na Mkandawile (Mkandaboy) wa pugu boys na mtaalam wa tuishen za chemistry yuko wapi???????????????
 
Back
Top Bottom