Vichwa hivi vya mkwawa(complex) viko wapi?

wamoro

Member
Sep 16, 2009
62
16
Kwa wale wadau waliosoma mkwawa high school(complex) kwenye miaka 2001-2004 wanakumbuka vichwa hivi tuambiane viko wapi na vinafanya nini sasa?

(1) mr.mbao-huyu alikua headmaster enzi hizo

(2)mr.tende alikua second master mzee wa kosa la kurudiarudia makosa!!

(3)orestes sotta-huyu alikua head prefect 2002 dogo alikua very influential alikua namwaga speach kali sana mkwawa yote inakua kimwa!

(4)pastor mbufwe-kijana mtata sana wa matukio

(5) prof utunguru-binwa wa mazingaombwe pale mkwawa!

(6) mzee chua na nelkon wa makanyagio kwenye mabanzi

na wengine tukumbushane wadau wa mkwawa comlex..dah lilikua bonge la shule hili!!
 
Najua baadhi wako wapi,mr.mbao alishastaafu anakaa tabata dar,mr tende alikua headmaster wa shule moja mbeya,nelkon alishafariki miaka kadhaa iliopita,prof utunguru ni mwalimu msoma na sotta sijui yuko wapi kwa sasa ila last time alikua president wa serikali ya wanafunzi pale mzumbe university
 
ha ha ha nazani mdau we umesahau Mkwa ilikua ndio dream team kwa High schools hapa Tanzania enzi hizo,haiwezekani wakaokesakana JF hapa members..itakua balaa sasa hiyo..
Nope nina wasiwasi unaweza ukawa peke yako tu kutoka mkwawa hapa JF.
 
nashukuru mdau kwa updates hizo manake ni miaka imepita...wadau wengine wapi unaowajua?
Najua baadhi wako wapi,mr.mbao alishastaafu anakaa tabata dar,mr tende alikua headmaster wa shule moja mbeya,nelkon alishafariki miaka kadhaa iliopita,prof utunguru ni mwalimu msoma na sotta sijui yuko wapi kwa sasa ila last time alikua president wa serikali ya wanafunzi pale mzumbe university
 
Najua baadhi wako wapi,mr.mbao alishastaafu anakaa tabata dar,mr tende alikua headmaster wa shule moja mbeya,nelkon alishafariki miaka kadhaa iliopita,prof utunguru ni mwalimu msoma na sotta sijui yuko wapi kwa sasa ila last time alikua president wa serikali ya wanafunzi pale mzumbe university

tende alikuwa headmaster, rungwe sec...sidhan kama bado yupo pale.
 
Mbao alikuwa anaish maeneo ya tabata kimanga kama unaelekea kisukuru,RIP nelkon,umemsahau pamela?yule du mwenye kujaliwa makalio?yupo mzumbe na kina natalia..
 
Sota yupo kwenye facebook,mambo yake poa siku hizi pia nasikia chua ni dreva taxi iringa mjini
 
Dah kaka umenikumbusha mbali sana,namtafuta Pamela vibaya sana..vipi una contacts zake mkubwa??
Mbao alikuwa anaish maeneo ya tabata kimanga kama unaelekea kisukuru,RIP nelkon,umemsahau pamela?yule du mwenye kujaliwa makalio?yupo mzumbe na kina natalia..
 
Ha ha ha kweli kaka,unakumbuka maandazi ya kule yalivyokua makubwa?mmoja tu unashiba balaa..dah kweli mkwa ilikua babu kubwa enzi hizo bonge la complex!!
kitu makanyagio, kwenye msosi wa tsh 50 hadi 200..mtu unakula hadi unasaza...dah umenikumbusha mbali mzee.
 
Sotta nimemcheck nimempata kweli mambo yake safi,kampuni yake ilishakuja kupiga kazi hapa kazini kwetu ya mambo oya Consultancy ila sikujua kama ni ya kwake,dogo aliku atalented sana aliniokoa nisifukuzwe shule dakika za mwisho kwa unoko wa Tende,sinatsahau kabisa!!,wengine wapi unajua wako wapi kaka??toa mchango zaidi mi nimechokozaa maada tu!
Sota yupo kwenye facebook,mambo yake poa siku hizi pia nasikia chua ni dreva taxi iringa mjini
 
Unakumbuka bweni la wababe shabani west..magembe kwa watoto wazuri kweli muda sanaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom