ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,142
- 3,767
Namkumbuka mama DATH week ya kwanza tu alitupeleka lab na kutufundisha chemical apparatus ndani ya lab na kuwasha bunsen burner.
hatukupoteza week nyingine akaha kutufundisha with a particle aina za moto na namna ya kuizima nilijiona wa pekee kweli na mwalimu yule mpaka leo mambo yake na machungu yake kwetu kama unafeli unahisi kabisa mhindi yule ni mzalendo wa kweli