Kama tunavyofahamu IQ ni Kipimo ambacho hutumika kupima uwezo alionao mtu au uelewa katika kutatua matatizo yanayomzunguka au kukabiliana hasa kwa kutumia akili za ziada na kwa ufanisi yaani (assessment of human intelligence )
Kiwango hiki cha akili kinaonyeshwa na uwiano wa
1. Umri wa akili ( dhana inayohusiana na akili inavyoonekana jinsi mtu fulani katika umri fulani hufanya jambo fulani kiakili)
2. Umri wa kihistoria.(umri binafsi wa kiekronolojia). Vipimo vya IQ hutumiwa mara nyingi kwa kuamua mambo ya intelegensia, waombaji wa kazi, waombaji wa jeshi nk.
Mtihani wa IQ kwa ujumla unasimamiwa na Mwanasaikolojia na maeneo ya jumla ambayo mtihani wa IQ unaweza kuchunguza ni:
1. Analogies (mathematical and verbal)---Analogia (kufumbua maswali yanayohusiana na hesabu pasipo kuandika)
2. Pattern driven (spatial and mathematical)-Maswali ya kimuundo
3. Classification-Uainishaji
4. Visual-Ya kuona
5. Spatial-Ya nafasi
6. Logical-Ya Kimantiki
Sintopenda sana niingie deep kwenye historia ya IQ test ilianzishwa na nani na aina zake lakini kimsingi mambo muhimu ya kuzingatia kwenye suala hili ni faida ya kufahamu umuhimu wa IQ test na nafasi uliyopo wewe kama wewe na nchi kama nchi. kwa maelezo zaidi unaweza kuingia kwenye Wikipedia.
Top African Countries with Highest IQ – 2020
TOP 10 PEOPLE HAVE HIGHEST IQ SCORES IN THE WORLD
1. William James Sidis – IQ score: 250 – 300
2. Terence Tao – IQ score: 225 – 230
3. Christopher Hirata – IQ score: 225
4. Kim Ung Yong – IQ score: 210
5. Garry Kasparov – IQ score: 194
6. Marilyn Vos Savant – IQ score: 190
7. Leonardo da Vinci – IQ score: 180 – 190
8. Judit Polgar – IQ score: 170
9. Albert Einstein – IQ score: 160 – 190
10. Stephen Hawking – IQ score: 160
Nafasi nchi iliyopo ndio kioo cha maendeleo iliyonayo kwani vigezo vimezingatia idadi ya watu waliopata Nobel prizes, Ubora wa elimu na mfumo mzima wa elimu itolewayo na hata performance yaani matokeo katika vyuo mbalimbali.
Je, Tanzania tunakwama wapi?
Je, ni wanasiasa ndio wanatukwamisha? Kwani hivi sasa hata mwanasayansi anakimbilia siasa?
Tuna uhuru wa karibia miaka 60 lakini huwezi jilinganisha na nchi nilizotaja hapo juu,miaka 60 ni umri tosha kabisa kufanya mambo ya ajabu ya kimaendeleo ukizingatia ukubwa wa nchi na resouces mbalimbali tulizo nazo, Korea Kusini inakadiriwa kuwa na watu idadi ya 51,000,000 na eneo la 100,363 km2 Wakati Tz ina eneo la 947,303 km2 idadi ya watu karibia milioni 60.
Korea GDP (PPP) 2020 estimate ni dola 2.418 trillioni,Per capita dola 46,451 Wakati TZ GDP (PPP) Total dola 186,060 billioni na per capita dola 3,574
Nafikiri kuna haja ya kuchunguza vigezo nilivyotaja hapo na kuvifanyia mabadiliko la sivyo siku zote tutashuhudia nchi za wenzetu zikiendelea na kufanya mambo makubwa huku sisi tukiendelea kulialia na siasa. Wenzetu wanapigania nini waifanyie nchi yao sisi nani chama chake kiendelee kutawala na kula peke yake hata kama ni milele,
TAFAKARI CHUKUA HATUA

Country | Rank | Average IQ |
Sierra Leone | 1 | 91 |
Mauritius | 2 | 89 |
Seychelles | 3 | 86 |
Eritrea | 4 | 85 |
Morocco | 5 | 84 |
Nigeria | 5 | 84 |
Uganda | 5 | 84 |
Algeria | 6 | 83 |
Libya | 6 | 83 |
Tunisia | 6 | 83 |
Madagascar | 7 | 82 |
Zimbabwe | 7 | 82 |
Egypt | 8 | 81 |
Kenya | 9 | 80 |
Zambia | 10 | 79 |