Very inspiring.....very lovely picture of sextuplets

Nchi za nje misaada ni kemkem either ya hali na mali. Lakini huku kwetu, utalijua jiji.
 
Aisee!!! This is true that family wamepata mapacha sita sasa walivyokuwa wakizungumzia story yao ilikuwa inagusa kila mtu, lol finest and family

Sasa iwe ndiyo ulikuwa na wawili mkasema ngoja muongeze mmoja wa tatu na wa mwisho!!!.......mhitabidi baba na mama wote chukue likizo mwaka mzima kwanza...
 
Hongera zao jamani, raha kuona lakini kulea kasheshe! Nina mapacha, kwa sasa wana miaka 3, nikikumbuka kufa sikufa ila cha moto nilikioana. Hapo ndo mama mfanyakazi, ilikuwa kidogo nifukuzwe kazi! Leo huyu akiumwa hiki, kesho huyu anaumwa hiki! Usiku akianza mmoja kulia mwenzake (anaamka hata kama alikuwa amelala na) kumsaidia kulia. Yaani usiku hakuna kulala. Inabidi uwe na supporting husband, mnagawana watoto, mmoja Kurwa mwingine Doto. Mkorofi zaidi ambaye anakataa watu ndiyo anakuwa kwa mama.

Lakini mbona wamewapiga picha uchi wakati wazazi wamevaa nguo?? Haki za watoto ziko wapi hapa!
 
Mkuu hongera sana na pole sana
 
duh! kaka hao wakikua inabidi unawatafutia jezi za man u manake unaweza kuwachanganya majina.....wakwanza kuzaliwa anakuwa van de sar...l.o.l
 
Wal-Mart imewapa kama $250,000 kwa ajili ya gharama za diaper na vikolombezo vingine.
 
View attachment 23959

I love this picture of the family which had sextuplets, "By the end of the day, Rozonno and Mia change 36 diapers, prepare 24 bottles, and dish out 12 bowls of cereals.

Nimejiuliza swali 36 diapers in a day? Si mchezo

Hakika ni baraka kuwapata wote kwa mara moja, ila mhh...kazi yake si ndogo kwenye malezi! I can imagine, miezi ya mwanzoni inabidi baba na mama wote mubaki nyumbani kuwahudumia.....hakuna tena kwenda kazini! Uzuri wake...hii haijatokea huku kwetu!
 
Back
Top Bottom