Very inspiring.....very lovely picture of sextuplets

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
mcghee-sextuplets_001.jpg

I love this picture of the family which had sextuplets, "By the end of the day, Rozonno and Mia change 36 diapers, prepare 24 bottles, and dish out 12 bowls of cereals.

Nimejiuliza swali 36 diapers in a day? Si mchezo
 
Hii ni photoshop ama!fainest na familia lol!
Aisee!!! This is true that family wamepata mapacha sita sasa walivyokuwa wakizungumzia story yao ilikuwa inagusa kila mtu, lol finest and family
 
kinachinfurahisha hapa wote ana nyuso za furaha. ingawa watoto wamefumba macho lakini ukiangalia utaona kama wantabasam.
 
Duu halafu wote afya inalingana, ukibahatika hivi, direct kufunga kizazi na kuanza kuenjoy maisha na team yako home
 
Duu halafu wote afya inalingana, ukibahatika hivi, direct kufunga kizazi na kuanza kuenjoy maisha na team yako home

hapo usikie tu kwa jirani, yakikufika utatamani ukimbie dunia.................... kuwakuza hao ni balaa hasa bongo kwetu, malaria kila siku!
 
Unaweza ukawa kichaa kwa muda fulani hivi, mtoto mmoja tu anaweza kukutoa jasho akianza kulia usiku hao wote sijui inakuwaje, nahisi wanapata msaada kwa watu wengine au ndugu katika malezi. thanx TF
 
"Waacheni watoto wadogo wote waje kwangu, maana ufalme wa CPU ni wao"
 
Unaweza ukawa kichaa kwa muda fulani hivi, mtoto mmoja tu anaweza kukutoa jasho akianza kulia usiku hao wote sijui inakuwaje, nahisi wanapata msaada kwa watu wengine au ndugu katika malezi. thanx TF
Ni kweli Gaga nilikuwa nalikuwa naangalia talk show ya Oprah hao wazazi wanasema kuna wakati ilikuwa inabidi wapate msaada kwa majirani
 
hapo usikie tu kwa jirani, yakikufika utatamani ukimbie dunia.................... kuwakuza hao ni balaa hasa bongo kwetu, malaria kila siku!
Na gharama za kuwalea wote kwa mpigo lazima uwe na vyanzo vizuri vya mapato.
 
Back
Top Bottom