Varangati: Mbunge Msigwa na DC Kasesela nusura ngumi zichapwe

Kweli huo ni mtazamo wako,uko huru na "sahihi",lkn ungewahi kuonja changamoto za kuwa mwanasiasa wa Upinzani ndani ya nchi ambacho chama dola ndio mpinzani wako mkuu...hilo jambo alilofanya Msigwa ni kawaida sana...Too much obidience is stupidity!!Wakati mwingine ni kujivika "uchizi" tu kidogo
Halafu mkuu wa wilaya has nothing to loose msigwa has so many to loose kwenye hiyo saga ya msigwa na huyo mkuu wa wilaya kwa hiyo lazima ajitetee kumbuka msigwa yuko mbele ya waajiri wake akizubaa ataonekana hashugulikii changamoto zilizoko jimboni kwake sasa kama mwenyewe anajituma halafu mtu anataka kumfitini kwa hila na ghiliba kwa nini asitetee kibarua chake.
 
Muacheni DC atetee Ugali jamani.
Anayetetea ugali si dc ni msigwa kumbuka dc ni discretion ya rais.Huyo mkuu wa wilaya anaweza akabebana na waandishi wa habari. Lakini rais akaona hajajikomba kwake akampiga chini akachagua washikaji zake.It works other way round kwa mbunge.
 
mbna ndo vizuri km wanagombea kutoa misaada me naunga mkono waendelee tu huyu akileta mabati 20 mwingne aonyeshe umwamba analeta mabati 50 hapo ndo uanaume utaonekana araf sisi wananchi tutaamua nani mshindi nani anatujali
BUT MSHINDI LAZIMA APATIKANE NI YULE ALOLETA VITU VINGI so endeleeni kugombana tu WAKUU

unajua hata mimi nilitaka kuuliza hiyo misaada kwani imetoka wapi ? ndio wagombee kuigawa
 
H

hakuna cha kichwa kichwa hapo Mkuu wa wilaya alimkosea Mbunge kwa kutaka kumdhalilisha ni vyema wakuu wa wilaya wakawaheshimu wabunge pasipo kuweka itikadi za Vyama vyao mbele.
lazima aweke maslahi ya chama chake kilichomuweka kama msigwa alivyoteuliwa na chama chake kugombea ubunge
 
Ni kweli.
Ila naona alishindwa kudhibiti hasira zake mpaka ameshindwa kutoa maneno kwa ufasaha. Huyu kasesera anaonekana ni mtu mwenye dharau au nyodo tuseme kwahiyo mtu unapaswa uwe technical kidogo kumvaa. Hapo mbunge kaonekana kama amepanick au analalamika, jambo ambalo DC kalichukulia poa tu

Inaelekea hawa maDC wanafikiria njia ya kupata attention ya Magufuli na kuonekana wanafanya kazi ni kuwakorofisha wabunge wa wilaya zao na wao kuonekana kwenye luninga wanapogombana ; naamini Rais hataingia kwenye huu mtego kuwa wale wanaojionesha kwenye luninga na kugombana na wabunge ndio watabaki kuwa maDc au kupandishwa kuwa ma RC kama alivyoahidiwa Makonda !!!
 
View attachment 324104

View attachment 324105

View attachment 324106

Kumetokea mabishano makali sana kati ya Mbunge Msigwa na DC Kasesera eneo la Iringa Mjini baada kuwa wamewatembelea wahanga wa nyumba zilizoezuliwa na mvua kubwa na kusababisha baadhi ya watu ktk Tarafa ya Nduli

Vurumai hizo zilizotokea baada ya Msigwa kukasirishwa na kitengo cha DC kutaka kumuengua ili asionekane anatoa msaada kwa watu wa jimbo lake bali DC ndio ionekane anajali wananchi.Shutuma zilienda mbali baada ya Msigwa kumueleza DC kuwa anajuwa anamhujumu na amekuwa anapanga mikakati ya siri ya kumfanyia hujuma ili aonekane hafanyi kazi jimboni kwake.

Juhudi hizo zimefanyika week iliyopita ambapo DC kwa kushirikiana na Humphley Polepole waliandaa "mdahalo" na wanafunzi wa vyu vikuu mkoani Iringa na kuanza kumsema vibaya Mbunge Msigwa,katika mdahalo huo Polepole amerekodiwa akisema Iringa awalikosea sana kumchagua Msigwa sbb alikuwa anamuunga mkono "fisadi" Lowassa

Wakati DC Kasesera alimshutumu Mb Msigwa kutokwenda Tarafa ya Pawaga kusaidia wahanga wa mafuriko na Msigwa akamjibu kuwa aanze kumwambia Lukuvi kwanini hajaenda maana Tarafa ya Pawaga ipo ndani ya Jimbo la Isimani,na hata yeye akienda sio lazima DC ajue,kama ambavyo yeye anaenda na kupiga picha na kurusha Facebook akimbeba mpiga picha ambaye haitaji msaada wa kubebwa.

Vurugu hizo ziliamuliwa na diwani na Meya wa Mji. Mwishoni Msigwa akamwambia DC awaite polisi wamuweke ndani maana katika viako vya CCM DC Kasesera amekuwa akisema lazima amuweke ndani Msigwa kumtia adabu

Mimi nilifikiri siasa za majitaka zimeisha, raisi wa Tanzania amepatikana sasa watu wanajenga. Huyo HP nilifikiri ni kijana mwelevu kumbe amejaa chuki na dharau hata kwa watu umri wa wazazi wake. Hebu tusaidiane Mhe Magufuli kujenga nchi yetu, sisi sote ni watanzania, hakuna mtanzania mwenye thamani zaidi ya mtanzania mwingine!
 
Yaani Msigwa haelewi maana ya diplomasia? Huyu si ndio waziri kivuli wa kimataifa. Sasa kama Ukawa wangeshinda na yeye kuchukua nafasi ya Mahiga na hiyo mihasira si Umoja wa Mataifa pangekuwa hapatoshi?
Hivi ukiwa na ISIS, kuna kutumia diplomasia hapo?
 
Mimi kwa akili yangu ndogo nadhani mbunge amekosea kwa kupanick katika masuala yanayohitaji majadiliano kidogo.....
Mbunge ni muwakilishi wa wananchi wa eneo walilolimchagua....na DC nu mtumishi wa wananchi kwa eneo aliloteuliwa akimuwakilisha raisi.....kimsingi ukiacha itikadi za chama ni kwamba hawa wote ni wajenzi wa nyumba na ni watumishi wa muajiri mmoja(wananchi)......
Inafahamika kuwa wakati mwingine hawa maDC huwa wanatumika kisiasa....lakini sio vyema kuoneshana umwamba katika masuala makini kama hayo ambapo nyinyi ni waheshimiwa.....

Msigwa ni mtu makini sana lakini amekuwa mwepesi wa kuhamaki hata katika masuala yanayohitaji busara kama mbunge na pia kama mchungaji....wapinzani wake kisiasa wanaweza wakatumia udhaifu huo kumbomoa kisiasa.......

Wananchi wamekumbwa na maafa baada waheshimiwa kuja wanatumaini kuwa mambo yanaweza yakawa freshi....wanakutana na malumbano ya waheshimiwa badala ya misaada hapo lazima waheshimiwa waonekane vioja....
 
Duh no wonder wananchi hawakuingiza madarakani hawa viongozi wa manyumbu, yani mbunge na mchungaji anakosa busara namna hii,big up kasesela kwa kuonyesha busara nidham na umakini wa hali ya juu , thank god ur reputation is intact cause u didn't stoop so low to that nyumbus level.
Kama hujui Geography ya Iringa ni vyema usiseme chochote!
 
Mtu anashinda kwenye kura za maoni wakati akiutafuta ubunge. Anahujumiwa ushindi waziwazi. Kupozwa anapewa ukuu wa wilaya. Anakwenda kwenye hiyo wilaya na kuanza kumhujumu mtu aliyeshinda. Kasesera ni mtu yupo vizuri upstairs lakini kama tu ataacha siasa za kishamba na cheap popularity akafanya kazi. Anazidiwa akili hata na Makonda wakati Makonda ni mdogo wake mbali sana.
 
H

hasara hakuna hapo Mkuu wa wilaya kaambiwa Ukweli na yeye kakubali kasema yaishe basi waendelee na kazi.
Bwana minyoo hoja dhumuni lake ni maendeleo sio kutafuta mshindi....tuweke akiba ya maneno japo mpumbavu na mwenye hekima tumewajuwa.
 
Hiyo kasesera UDC kapewa na jk ,jamaa Kimbelembele alikuwa kutwa kumtukuza mkwere moja akampa UDC..kasesera aka dibo!
 
Huyi Msigwa akitaka aonekane na nani kuwa anatoa msaada? Kumbe wanaenda kufanya vitu ili waonekane…!! Ata msaada nao mpk uonekane?

Kwan hawa wanapenda kufuatana wakati wana mioyo kuntu kwa kila mmoja? Dc na mbunge muna matatizo gani katika nchiii?
 
Mkuu wa wilaya alizidi kuendekeza majungu, fitna na sifa zisizo na maana, mfano ile ya kumbeba Mwandishi mzima na kupiga naye picha ilikuwa na tija gani? Kupiga picha na misaada huku ukimtenga Mbunge inamsaidia nini? Tufike mahala hizi kasumba ziishe kama kweli ccm wamedhamilia kubadilika na kuijenga Nchi hii, Magufuli ni wakati wa kuangalia upya hiki cheo cha ukuu wa wilaya ikibidi atumbue Majipu wakuu wa wilaya woote wanaodharau upinzani.
Ndiyo maana wananchi wengi kupitia tume ya Warioba walitoa maoni kupinga hawa wakuu wa mikoa na wilaya, hawana umuhimu zaidi ya majungu na fitina za watawala.
CCM wakapinga kwa nguvu wakimtumia Sitta ambaye wamemtumia kama condom na kumkosa, tutarajie upuuzi mwingi kwa hawa jamaa
 
Safi msigwa wewe umechaguliwa na wananchi lazima waelewe kuwa unawatumikia huyo DC ni bora umchana ccm ni chama cha kinafiki ina maana pole pole yeye anaona matatizo ya kusema kwenye midahalo ni lowasa tu kuwa kijana kuwa ccm lazima uwe mnafiki hila huyu haraka haraka kashakuwa mchawi
 
Alikuja Kanisani kwetu pale Mabibo_farasi mwaka jana miezi ya mwisho mwisho ya harakati za siasa, akatoa msaada! Ghafla nikasikia kuwa kaenda kugombea Ubunge kura za maoni sijui wapi huko, niliumia sana kuwa kumbe ahat kuja pale alikuja kutafuta Kick hakua na chochote.....I hate this guy tangu siku ile.
 
Back
Top Bottom