Kwanini siyo halali?Si halali
Maada bado haijaegemea upande wa kupinga ama kuhalalisha.Kama hauna mpenzi jifungie ndani utuache tusherehekee na wapenzi wetu.
Kabla hata ya VALENTINO Roma ya kipagani tayari ilikuwa inaadhimisha sherehe za miungu (LUPERCALIA) za kila February ya kila mwaka. Hata baada ya Mfalme Constantine kuanzisha RC miaka ile ya 300 AD mapokeo hayo yaliingia kanisani.Hiyo ni kumbukumbu ya mtakatifu varentino kwa wakatoriki wanaelewa
HahahahaKama hauna mpenzi jifungie ndani utuache tusherehekee na wapenzi wetu.
Kama wakristo ni Waroma pekee ni sawa, ila ka siyo hao wengine ujue n mikia ya Roma[/QUOTE
sio mikia bali ni outlier
"Kiingiacho si haramu bali kitokacho"si ndivyo mnavyosema?au nimekosea ndugu zangu manaswara?Kama ndiyo tete kwa facts na kama siyo weka sababu pia