Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Yes but ni kwa ujumla wa maelezo yako!

Eiyer kaka naamini kua sija support na ndo maana are of concetration nimetoa hii:-

Ombi Kwenu wana JF…

  1. Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide…
  2. Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani….
  3. Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa…. Ufanye nini??
!
 
I do agree with a great part of this post.... But not neccessarily so abouit LOOKS for sometimes that can be bought and a person can be completely transformed from the original self.... Huyu dada in the same situation anaweza kua treated tofauti....

Huyu ni mtu mmoja!??
 
Eiyer kaka naamini kua sija support na ndo maana are of concetration nimetoa hii:-
Unaweza kuwa kweli unaamini hivyo but unachoamini has nothing to do with truth!Dada hebu rudia kusoma ulichoandika!
 
Adi nimekusoma ipasavyo,hili jambo mm linanichanganya kivingine kabisa.mimi ni mtu wa kupiga pamba hasa yani smart kila cku shati lake,kiatu chake,suruali yake,tai yake kwa siku zote za wiki/kazi.Jambo hili linaniletea tatizo hasa ukizingatia kaziyangu ni mwalimu na hivi vibinti vya sekondari hapa dar nadhani unavijua vilivyo mcharuko yani unafundisha mtoto anakodoa tu macho na kurembua!Ukielekea usawa alipo mara ajishike kifua,mara hv mara vile.Na wale tulio single yani majaribu, nahisi wanachanganywa na utanashati.Chuoni tumesoma psychology ili angalau tuwape counselling lakin bado haisaidii.Hapa sasa nikiwa smart tabu nikiwa hovyo tabu zaidi mana nitaondoa hata attention of the learners ktk somo.yani kaaz kwel kwel
 
Adi nimekusoma ipasavyo,hili jambo mm linanichanganya kivingine kabisa.mimi ni mtu wa kupiga pamba hasa yani smart kila cku shati lake,kiatu chake,suruali yake,tai yake kwa siku zote za wiki/kaziJambo hili linaniletea tatizo hasa ukizingatia kaziyangu ni mwalimu na hivi vibinti vya sekondari hapa dar nadhani unavijua vilivyo mcharuko yani unafundisha mtoto anakodoa tu macho na kurembua! Ukielekea usawa alipo mara ajishike kifua,mara hv mara vile.Na wale tulio single yani majaribu, nahisi wanachangwa na utanashati.Chuoni tumesoma psychology ili angalau tuwape counselling lakin bado haisaidii.Hapa sasa nikiwa smart tabu nikiwa hovyo tabu zaidi mana nitaondoa hata attention of the learners ktk somo, yani kaaz kwel kwel

Mpatanishi hakuna kitu nisichopenda kama walimu vijana (I am so sorry to admit this...)
Yaani majority wantachezea na kuwavua watoto vyupi mpaka inauma - ni inevitable
kwa sisi tulojaliwa kupata binti... Kuna research fulani ya Youth btn the age of 14-16 wa
Standard Seven... Most shule nilikua naenda wanafunzi wa kike wanalala tabia ya walimu
hasa vijana kuwafuatilia mabinti (hasa ambao ni hybrid na kuwataka Mapenzi....) I was so
mad!! Hata hivyo after follow up ililonesha ni two sided kua hata baadhi ya mabinti wanafuatilia walimu wao....
 
Hebu Vaa jinsi na nusu t.ako uone kama utapata priority kama mwenye suti! lakini hata hiyo suti itategemea imekaaje kaaje.... vyote hivyo huzaa ma-upendeleos
 
Hebu Vaa jinsi na nusu t.ako uone kama utapata priority kama mwenye suti! lakini hata hiyo suti itategemea imekaaje kaaje.... vyote hivyo huzaa ma-upendeleos

Yaani Elia unfortunately am not good at uploading Pics.... Kuna mtu anavaa jeans
simple (ila si nusu t) then t -shirt/shirt simple... But presence yake ika speak loads
kuliko hata yule alo vaa suit... Kama ulivyo sema nayo suit inategemea.....
 
Mpatanishi hakuna kitu nisichopenda kama walimu vijana (I am so sorry to admit this...)Yaani majority wantachezea na kuwavua watoto vyupi mpaka inauma - ni inevitablekwa sisi tulojaliwa kupata binti... Kuna research fulani ya Youth btn the age of 14-16 waStandard Seven... Most shule nilikua naenda wanafunzi wa kike wanalala tabia ya walimu hasa vijana kuwafuatilia mabinti (hasa ambao ni hybrid na kuwataka Mapenzi....) I was so mad!! Hata hivyo after follow up ililonesha ni two sided kua hata baadhi ya mabinti wanafuatilia walimu wao....
Adi kwani mm kuwa mwalimu nimefanya kosa my dear?Hii ni taaluma niliyosomea na kamwe siwez kufanya huo uovu ulioutaja! Hapa nimechangia mada from my own experience kuhusu uzuri,mavazi na muonekano. Kwamba mm kama mwalimu nipo smart daily bt ni tabu ktk kazi yangu na nikisema niwe hovyo itakua tabu zaidi.About hiyo research sina hakika kwa sababu sifundishi primary na pia hiyo level ya darasa std 6-7 ni watoto wadogo sana,but inawezekana mana walimu wao wa priamary nao ni wadogo pia b'se primary teachers (grade 3A) wote ni form 4. Sasa imagine katoto ka 4m4 hata hakaja jitambua vizuri na damu inachemka then umpe afundishe vibinti vya std 7 vilivyoanza kuota maziwa juz tu hapa! Hiyo ni hatari.Bt kwa sisi walimu wa sekondari jibu linakua vice versa yani mabinti wenye ndo wanakuwinda hasa unapokua very smart.Siwalaumu wanafunzi mana unatanashati unachanganya sana hizi jinsia za KE. Imagine nipo smart hadi fellow teachers nao wanakutega kiutu uzima je itakuaje kwa wanafunzi?Unaposema hupendi walimu vijana unatuonea coz kutembea na wanafunzi ni tabia tu ya mtu. Mbona wengine tunategwa dhahiri na bado tunajizuia.Je unataka kuniambia hiyo research yako inasemaje kuhusu walimu wa kike wa primary? Je nao wanawapa penzi std 6-7 wa kiume?
 
Naomba nisamehe kwa kukukwaza.... BUT katika hilo kundi la walimu nilozungumzia sikuku consider kabisa maana ungekua na hizo tabia wala usingegusia katika post yako ya awali kua hupendi.... Ni kwamba tu nilieleza my genuine view ya mawazo yangu juu ya hao walimu majority... Thus I AM SO SORRY.... Hata hivyo bado nasimamia amani yangu kua wengi wako hivyo....

Hapo nilipo color.... hayo ni maoni yako sabau una utu na you understand madhara na hatari yake..... Mimi na wewe twaelewa Wazi kua wapo wengi wanachukulia advantage ya hio age.... acha tu wa form 4 ambae ndo kakomaa kabisa katika hio sector na anashindana na watu wazima - nafikiri ndio hata tangazo la FATAKI ilisukumwa na hio ya underage children kuji indulge katika Sex tokana na vishawishi vidogo vidogo.... It is Sad kweli ....

Na hao wanao wapa penzi wa Standard 6-7 ndio huwaaribu kabisa hawa watoto Psychologically - bora hata kwa mabinti, But mtoto wa Kiume, yaani his Psychology mara nyingi totallly distroyed in the sense of life, kujitum, mapenzi and outlook in genera....
 
Mr R... your experience umetoa i believe itakua very helpful kwa woote wataobahatika kupitia...

Thank you for sharing.... and alll is NOTED.... With appreciation....

Thank you AshaDii
Appreciate and noted too

But la muhimu ni kujua kuwa kuwa smart ni jadi ya mtu maana kuna watu wana kila kitu ila vaa yao iko ovyo sana na hata muonekano wao mbele ya jamii sio wenyewe. So usmart pia unaendana na mtu kupenda mwenyewe kuwa smart na sio kitu cha kuiga
 
AshaDii uliyosema ni ukweli kwa 100%

Naomba nitoe mfano

1. Kwa wanaokumbuka, kwenye news page ya yahoo wiki iliyopita, ilikuwepo habari moja kuwa kuna jamaa amajiajiri kwa kutengeneza presentations za muonekano kwa wadada wanaotafuta kuolewa, na anafanikiwa kwa zaidi ya 80% ya wateja wake. Ameanzisha make up saloon ambayo ukifika, anaangalia sura yako, then anakufanyia makeup inayoendana nayo, na kukushauri aina nguo za kuvaa, na mwanamke unaonekana 'wife material'

2. Kuna dada mmoja (huko ulaya pia), alieleza kuwa aliitwa kwenye interviews 21, na hakufanikiwa kupata ajira katika hizo zote. Then alienda kwa washauri wa makeup wakamtaka akafanyiwe plastic surgery na kurekebisha sehemu fulani za lips za mdomo wake, na baada ya hapo, interview iliyofuata alifanikiwa kuajiriwa!

So, its true kuwa for the first (even second or more) time, we are judged by how we look, and the way we look inachangiwa sana na hayo uliyoelezea kwenye main post...
 
Mr R.... Nakuabaliana nawewe.... But kuna wale wakielekezwa/fundishwa huelekea kabisa
Hivyo kuiga kupo... ila sema wengine kweli wana kila kitu lakini hata umuelekeze vipi haelewi....
 
AshaDii uliyosema ni ukweli kwa 100%

Naomba nitoe mfano

1. Kwa wanaokumbuka, kwenye news page ya yahoo wiki iliyopita, ilikuwepo habari moja kuwa kuna jamaa amajiajiri kwa kutengeneza presentations za muonekano kwa wadada wanaotafuta kuolewa, na anafanikiwa kwa zaidi ya 80% ya wateja wake. Ameanzisha make up saloon ambayo ukifika, anaangalia sura yako, then anakufanyia makeup inayoendana nayo, na kukushauri aina nguo za kuvaa, na mwanamke unaonekana 'wife material'

2. Kuna dada mmoja (huko ulaya pia), alieleza kuwa aliitwa kwenye interviews 21, na hakufanikiwa kupata ajira katika hizo zote. Then alienda kwa washauri wa makeup wakamtaka akafanyiwe plastic surgery na kurekebisha sehemu fulani za lips za mdomo wake, na baada ya hapo, interview iliyofuata alifanikiwa kuajiriwa!

So, its true kuwa for the first (even second or more) time, we are judged by how we look, and the way we look inachangiwa sana na hayo uliyoelezea kwenye main post...

Tuko THANK YOU for sharing.... Na nimeipenda saana hio namba moja.... Imenifanya
nicheke saaana.... In other words wanaume wanavutiwa na urembo/uzuri la sivyo
imekula kwako kama huajaolewa.... Hilo wazo zuri twaweza fungua hata Bongo naona....lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom