AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
- Thread starter
- #101
Maamuzi yetu mengi bado yanakuwa influenced na makuzi, muono, na tafsiri za kila mmoja wetu.
Makuzi yalitu shape hisia zetu unapomuona mtu kakunja uso ina maana ana hasira.
Ukimuona mtu ameva hivyo hovyo, unatafsiri ana matatizo...nk...
Kwenye Customer Service training Skills nia ni kupanua wigo wa ufahamu.
Kwamba si kila aliyekunja uso ana hasira,...huenda anaumwa, huenda ana njaa, huenda ndivyo alivyo!
Tunafunzwa kujiepusha na kumhukumu mtu kabla hujamsikiza. Tunafunzwa kuzihifadhi kabatini hisia zetu.
Tunafunzwa ku empathy na wenzetu i.e mteja/mgeni/wenzetu.
Kubwa kuliko yote, tunapofunzwa tufundishike. Kwani hili haliishii makazini pekee na tunaofanya nao kazi.
Hata majumbani vile vile,...ukimkuta mke/mume kanuna haina maana umemkosea. Na hivyo hivyo,
twapaswa kujifunza jinsi personal appearances na facial expression zetu zinavyoweza ku influence mtazamo wetu kwa wengine.
Mbu your deep insights kaka some times nouma..... nimejifunza one or two things from
your comments leo, one ya muhimu ni jinsi gani hio issue inakua nurtured toka udogoni...
Ndio i knew but i think sikuizingatia nafasi yake katika hili suala.... as in toka unalelewa mpaka unakua...
Hata hivyo nikirudi katika Customer Handling Skills kuna ile Motto ya First in First to be served - Which
in this case ni problem kubwa saana... Na hizo hisia... Why ukienda wewe una serviwa na kununa - where
as akienda Mrembo/Mtanashati a smile i-rise?? I wish ungewahi angalia a Movie called
"Out of My League" Nitolee mfano scene fulani hivi....