Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Habari wana MMU. Niko mbele yenu kuzungumza jambo, walio nyuma yangu ni wana Jamii Intelligence. Kwa unyenyekevu naomba kuzungumza kitu
Uzi ulikuwa hosted on 11th Dec. 2011, hakuna hata kiumbe mmoja aliyereply. Uzi ulikuwa ni wa mahubbat kwenda kwa aliyekuwa mrembo wa JF wa kipindi hicho
Ni miaka 13 sasa imepita. Kwa mara ya kwanza, uzi unakuwa replied na Gily Gru siku ya 26 /02/2024.
Hii inaonesha ni kwa kiasi gani dunia ya kipindi hicho haikubezi sana kwenye uchakataji mbususu. Ni vile tu akili ya mtoa mada ama mtoa mada mwenyewe alitime travel kutoka dunia ya sasa kwenda dunia ya 2011 ambako kulikuwa na wimbi la watu waliobezi kwenye siasa na hoja mchanganyiko
Hata hivyo, hii inaonesha kuwa nyuzi zetu zitaendelea kuishi kwa ajili ya faida ya kizazi kijacho ilihali tu Jamiiforums ipo
Kuna uzi wangu una miaka miwili sasa hauna any reply. Ni kwa vile tu umebeba mapenzi ya kitofauti kidogo na style za kielektroniki za mapenzi ambazo wanadamu wa sasa hamuwezi kuzidadavua. Nasubiri miaka 60 baadae uzi wangu uanze kupata more replies
Naombeni mumuite Tresa Mandala aje hapa atuelezee utofauti wa Jamiiforums ile na Jamiiforums ya sasa. Enzi zile nilikuwa hata sijajua papuchi inafanana vipi
Uzi wake ni huu hapa ...Uhali gani ...