Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sex tourism: (Utalii wa ngono) ni aina ya utalii ambapo watu husafiri kwenda sehemu fulani kwa lengo la kupata huduma ya ngono. Wanaume na wanawake wote hufanya hivyo. Maeneo ambayo wanaume hupenda kwenda kufanya utalii huo ni Asia (Thailand, Ufilipino n.k), Amerika ya Kati na Kusini pamoja na Afrika. Wanawake hupendelea zaidi nchi za kiafrika. Gambia ni maarufu zaidi kwa wanawake kutoka Ulaya ambapo hutembelea kufanya utalii huo. Kwa Afrika mashariki, Kenya inatajwa kuongoza. (Mirror, Vice, Wikipedia)
Sawasawa..
 
Amani ya akili ni kuwa katika hali ya kisaikolojia na kihemko ya kupumzika. Ni kinyume cha msisimko au woga. Wataalam wengine wanaamini kuwa hali ya utulivu ya mara kwa mara ni furaha ya kweli, sio hali ya furaha ya kitambo juu ya kitu kizuri ambacho kimetokea.
 
Back
Top Bottom