Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,971
- 1,098,422
Takribani makabila hamsini ya watu wanaoishi katika msitu wa Amazon hayajawahi kamwe kukutana na watu wanaoishi duniani!
Hata kama wapo, mahari mimi nitaijuaje?Hata kama wewe bado ni andaeitini, huna dada au watoto wa mjomba au shangazi ambao walishawahi kuolewa?
Mh...!!!
Sijawahi kushiriki shughuli yoyote ya utoaji mahari na sijawahi kufuatilia chochote kisichonihusuMh...!!!