Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna aliyefanikiwa bila ya kuwa na historia ya maumivu. Kudhalaulika kunyanyasika hivyo vyote ni vionjo vya mafanikio.Ijapokua haso zinaumiza, usikate tamaa endelea kupambana
 
Kesho bora ipo kwenye mioyo yetu. Inatupa furaha tukiifikiria na tukitazama mbele kwa matumaini. Hata kama hii ya sasa haifanani na hiyo lakini ujasiri wetu upo katika ile tunayoingoja. Kwahiyo isiwepo hofu tena, wala huzuni wala sononeko na kila mtu afurahi akitazama mbele.
 
Back
Top Bottom