Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 270,761
- 1,105,462
Kuna wakati unaweza ukapita kwenye MAGUMU makubwa sana lakini watu wengine wakikuuliza kuhusu hali yako na maendeleo yako kwa ujumla wake na ukaishia kusema naendelea vizuri TU, lakini wewe mwenyewe MOYONI MWAKO UNAJUA kabisa kuwa MAMBO YAMEKUBANA kweli kweli!!!