Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 480
Mkuu hata vituo vya mlimani primary school, hawakuwepo hadi mida ya mbili kasoro.. checkini pia, ila nilifurhaishwa kuona wanachuo weeeengi wamerudi kuja kutimiza haki yao ya kikatiba, pamoja na hujuma za kutofungua chuo!
Hii ni mbaya sana na inatiauchungu mno!!!
Je inaruhusiwa kuanza kupiga kura kabla ya mawakala kuwepo?
Miafrika mingine !!!! Vituo vinafunguliwa saa 12 asubuhi, eti jitu linakuja saa mbili ....!!!!!!!!