Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD
Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi