Uzembe kwa Wabunge wa CHADEMA 2010-2015

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD

Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi
 
Kwani kujaza makaratasi mezani ndio kuwa mdadisi acha hizo.
 
Nadhani sio uzembe ila ni staili yao coz wa2 hawafanani!cha kuangalia ni uwezo wa kuwasilisha hoja za msingi na kutetea maslahi ya taifa na sio kuwa na makabrasha,hata hivyo document na evidence zao zipo ktk softcopy sio kbeba makaratasi kama 2po zama za kina Karl Max.
 
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD

Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi

Kule walipokuwa wanapata hizo data hazipo tena, jamaa wameziba mirija yote
 
suala la msingi ni kuwasilisha hoja .. maana atakachoeleza hapo bungeni hakifiki hata kurasa hamsini sasa abebe makabrasha mengi ya nini
 
Mkuu notebook uzionazo zaweza kubeba document za miaka 10 au zaidi. Je, unafikiri wakiamua kizibeba kamahard copy docu za miaka 10 au zaidi zitakaa wapi pale?

Hayo ni maamuzi tu, na wala usifikiri kuwa Dr Slaa alikuwa akitegemea hardcopy data, la hasha, alikuwa na softcopy pia!
 
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD

Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi
New technology.
 
h
ata mimi nashangaa mara leo zito anaonekana mzuri mara kesho mbaya sasa haieleki msimamo wa chama
 
Jeykey umezungumza vizuri sana!
Nakumbuka ishu zote za kuikosoa serikali wapinzani ndio walikuwa mstari wa mbele. Siku hizi hamna kitu kabisa. Imagine kama ishu ya Jana ya Katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini. Nilikuwa sitegemeii iibuliwe bungeni na mbuge wa CCM! Hii inaonyesha kuwa wabunge wa CCM wamekuwa makini kufuatilia utendaji wa serikali.
Wapinzani bado wamelala.
 
Akili za akina Nape hizi za Personality attacks mh .Poleni nyie badala ya kukata issue mnaleta umbeya
 
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD

Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi

Una hang over za kwenye harusi ya Mdogo wake Ikulu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom