LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
Spika amekuwa akiwazibia sana: Utasikia eti "leo wachangiaji ni wengi sana, kwa hiyo si wote watakaochangia, pia waliochangia tayari wasijirudie!" Anyway, wabunge wa CDM wamewafanya Magamba kuwa makini zaidi hasa pale Bunge linapoambiwa "tutawashtaki kwa wananchi!" Kwa hiyo Magamba wamekuwa wakicheza kulingana na tune za CDM bila kujijua!Jeykey umezungumza vizuri sana!Nakumbuka ishu zote za kuikosoa serikali wapinzani ndio walikuwa mstari wa mbele. Siku hizi hamna kitu kabisa. Imagine kama ishu ya Jana ya Katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini. Nilikuwa sitegemeii iibuliwe bungeni na mbuge wa CCM! Hii inaonyesha kuwa wabunge wa CCM wamekuwa makini kufuatilia utendaji wa serikali.Wapinzani bado wamelala.