Uzalendo umeniishia: Sasa naipenda CHADEMA

hv kwa nini ccm ipo bize kuisambaratisha cdm tu badala ya kuwashughulikia wananchi. jamani fedha za mfuko wa pamoja(health busket fund) ambazo zinatumika kununulia dawa na vifaa tiba katika hosp zetu toka mwaka wa fedha uanze yaan july 2012 ni fedha za robo ya kwanza tu ndio zilipelekwa na sasa ukienda hosp kila dawa unayoandikiwa na dokta unaabiwa kanunue. hata panadol hakuna. lkn wapo bize kisulubu cdm! why?
 
Maisha magumu na vitisho kwa kila mtanzania badala ya maisha bora kwa kila mtanzania......kikwete anajikadha kisabuni tu hiii aibu tupu rais wa kwanza kusomewa ITIKAFU
 
Chakushangaza twashindana watz kwa watz ndani ya nchi yetu sote,kundi moja linatetea mali kunufaisha raia wote bila kujali itikadi zao,Kundi jingine linataka Mali zote zilizopo nchini zihamie,Uchina,Usa,bwagamoyo etc,na pia liogopwe kana kwamba wao ndio wana haki na nchi hii kuliko kundi la kwanza,I wish lengo letu liwe Moja,kuhudumia jamii nzima bila kubagua,huyu wa kusini,or mashark,CCM MNATUGAWA TRUST ME
 
Hivi mtu anayekiita chama ambacho kimekuwa cha upinzani kwa miaka zaidi ya 20 kuwa hakijawahi kushindwa unamuitaje kama sio fanatic? The only alternative name is LUNATIC...
 
Mtu kama wewe na usomi wako wote wa SAUT unapost ujinga,,kisa umeanza kutokwa na kitambi hakika udongo utakaokufukia uatabadilika rangi


  • A%20S%20angel.gif



Kumbe amesoma chuo ambacho wanakandamiza uhuru wa fikra....sio tatizo lake ni fikra za kufugwa na akili za kushikiwa....
 
Chadema kuitwa chama cha upinzani tayari kimeishashindwa.
 
Kama wewe kwenye mambo ya CCM, au hujajishtukia?

Daktari mzima unashinda humu, unatetea li system lililooza! Halafu unaona wenzako fanatics!!

Nyani haoni....


mkuu unaonekana una ghadhabu ya kungoa watu kucha na meno bila ganzi ila sasa hv tumewastukia na Lwakatare wenu sasa tunatembea na Ganzi yaan tukiwaona tu tunajichoma ganzi kabisa ili kuepukana na maumivu....
 
Huku Mitaani ccm iko taabani mno, ni aibu hata kuvaa yale mavazi yao hadharani , hivi sasa viongozi pamoja na wajumbe wa mikutano yao wanavalia sare zao kwenye vyoo vya kumbi za mikutano !
 
hamjawahi kushindwa maana hamjawahi shindana, wala si washindani wa mtu yeyote zaidi ya ugaidi,
 
Nina umri mdogo sana lakini nahisi nina mapenz ya dhati kabisa na hiki chama_CHADEMA.Napitia posts nyingi sana kwenye jukwaa hili;wanaoipenda chadema kama mimi na wengine waliowapenz wa ccm,hali kadhalika hata wale wanafiki wanaodai wanaipenda chadema huku wakikipiga kijembe_lakini hata hvyo mimi binafsi sijabadilisha msimamo wangu,bado chadema ni chama changu hasa.

Kwa mara ya kwanza nilipotuma post yangu_descriptive post,nikieleza uhalisia wa Katibu na vile alivyo na moyo wa uvumilivu na upendo halisi kwa watanzania,nikilinganisha na mwanasiasa mashuhuri kutoka nchi jirani,Odinga Raila,kiukweli ninaamini kabisa katibu wetu anamapenz mema na nchi.Kuna baadhi ya wadau humu Jf,wakaniambia,mara ooh,dogo umri wako bado sana,soma kwanza,hadi wengne wakani Pm kunishauri niachane na siasa.Hakika nawapenda sana kaka zangu,dada zangu na wengne wote,lakini nipeni uhur na mimi mwanenu,mdogo wenu,nieleze hisia zangu,maana hali halisi inaonekana kiasi kwamba hata wale ambao hawakusoma,wanasoma alama za nyakati zilizoambatishwa na picha halisi za maisha ya watanzania chini ya utawala wa kibabe ajabu kusimulia.

Ndugu zangu,wadau wenzangu wanajf,pamoja na kuwa bado nipo shule,nashindwa kabisa kuizuia mihemko yangu juu ya mapenzi niliyonayo kwa Chadema,acha niwe muwazi.

Kwa jasho la mama yangu,hadi leo hii nasoma tena kwa shida,sasa je,ni lini mtoto wa mkulima atasoma kwa amani kama mtoto wa kiongozi? Hata kidogo sijutii kuwa chadema.

Mshairi mmoja nchini Marekani,kipindi cha harakati za kujikomboa(Harlem Rennaisance,Claude McKay alisema,"...like men,we'll face the murderes cowardly pack,pressed to the wall,dying but fighting back! Ni uamuzi mgumu sana lakhni pia inahitaji uzalendo wa hali ya juu sana kama ilivyo kwa Chadema.

Watanzania,hasa vijana wenzangu inatupasa tuamke,wasiojua kusoma tuwaonye hata picha.We have to be Role models so as to make a possible and conducive atmosphere for both residents in an inaugural country we live,to be happy.A group of real puritans with a support from majorities is needed.

Naipenda Chadema,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibaliki Chadema.
 
mkuu unaonekana una ghadhabu ya kungoa watu kucha na meno bila ganzi ila sasa hv tumewastukia na Lwakatare wenu sasa tunatembea na Ganzi yaan tukiwaona tu tunajichoma ganzi kabisa ili kuepukana na maumivu....

Kubenea mlimmwagia tindikali

Ulimboka mlimtesa na kumng'oa kucha na meno, Ighondu hata hajahojiwa kuhusu hili licha ya ushahidi mzito..

Mwakyembe alisema yeye mwenyewe kuwa amepewa sumu na watu wa system

Mwangosi mmemuua waziwazi mbele ya camera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom