Uwezi kuzuia Torrent kupakua data labda uzime internet dunia nzima

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,723
Historia:(wikipedia)
μTorrent, au uTorrent (angalia matamshi) ni adware inayomilikiwa na mteja wa BitTorrent inayomilikiwa na kutengenezwa na Rainberry, Inc. "μ" (herufi ya Kigiriki "mu") kwa jina lake inatoka kwa kiambishi awali cha SI "micro-", ikirejelea programu alama ndogo ya kumbukumbu: programu iliundwa kutumia rasilimali ndogo ya kompyuta huku ikitoa utendakazi unaolingana na wateja wakubwa wa BitTorrent kama vile Vuze au BitComet. μTorrent ilizua utata mwaka wa 2015 wakati watumiaji wengi walikubali bila kujua chaguo-msingi wakati wa usakinishaji ambao pia ulisakinisha mchimbaji wa madini ya cryptocurrency. Mchimbaji aliondolewa katika matoleo ya baadaye, lakini alikuwa tayari amefanya uharibifu usioweza kurekebishwa kwa sifa ya μTorrent.

MADA:
mfumo wa torrent umekuwa ukitumiwa sana watumiaji kupitia tovuti mbali mbali sana sana zile zinazo sambaza kazi za watu bila vibali vyao wala pesa kama kununua kupitia sehemu yoyote.

mfumo huu mpaka leo duniani umeshindwa kuzibitiwa sababu ni mgumu kuzibiti kutokana na utendaji kazi wake ambao mfano file lina vipande (30) ndio likamilike ila hilo file hivo vipande vitatawanyika au kusambaratika sehemu yoyote na hata wewe ukipakuwa(download) basi na wewe utabi na kipande labda ufute ila na wewe utakuwa umeshiriki kuwa na vipande kusambaza kwa wengine watakao itaji kupitia upload .


Mifimumo ya torrent inakwenda kwa jina packate (vipande) kima tutumiahavo matumizi ya kawaida.

Kazi nyingi za watu zimekuwa zikipoteza mapato sababu zinapatikana bure kupitia torrent kama sinema,miziki,game,software n.k

torrent inatabia kubeba bandiwith kubwa katika mfumo wa aina internet zile ambazo mfano unlimited internet share ambazo mnatumia bomba moja mfano wa bomba la maji.sio wale wanaotumia spacial packet yani ushayi na mtu spidi leo ndio bando ni ghalama sana.

torrent inatabia ya kutengeneza kitu kinaitwa zombie server bila wewe kufahamu yani unaweza kuwa unapakuwa kazi zawatu na wewe ukatumika kusambaza kazi za watu bila kufahamu.

Je ni vipi wanashindwa kukamata !. mifumo ya torrent inatumia njia zinazo tumika internet kama tanda bui kutawanya na sana sana tovuti zinazotumia torrent ubadilika IP(internet protocal) kwa spidi ya haraka ni ngumu kutrace labda kukamata kikundi hiko na ndio maana mpaka leo piratebay hawa fahamu server hipo wapi na rudia tena kama hapo juu.

waathilika wanaokuja kukamatwa ni sisi watumiaji ambao ukitumia inaweza kuonekana address ip yako ila kwa nchi zilizo na teknolojia kubwa kama USA .usije jichanganya ukiwa huko ukatumia hayo utagongewa mlango na kesho jela .

IMG_9349.jpg
 
Enzi hizo kabla vifurushi vya usiku havijaondolewa nilikuwa nadownload movie 12 mpaka 20 kwa saa 6 pekee kwa bando la 1500 unlimited, alafu unaenjoy movies mpya unavyoweza kwa muda unaojisikia.

Long live Torrent bastards who created such tech.
 
Enzi hizo kabla vifurushi vya usiku havijaondolewa nilikuwa nadownload movie 12 mpaka 20 kwa saa 6 pekee kwa bando la 1500 unlimited, alafu unaenjoy movies mpya unavyoweza kwa muda unaojisikia.

Long live Torrent bastards who created such tech.

maisha yamepinduka ghafla sana aisee haya mambo ya halotel 2017 tu hapo 1500 unapewa unlimited mpaka saa kumi na mbili asubuhi,mara wakashusha GB 10,mwisho wakatoa kabisa
 
Kudownload kwa kuvizia na machale meengi sku hizi😂
Ukizubaa TU bando mzozo ...Huna maisha 🤣🤣
 
nilishaachana na torrent mara seeders sjui leechers

skuizi natumia idm tu direct download kitu fastaaa
 
Back
Top Bottom