Uwezekano wakubadili faculty

Toxty

Member
Aug 12, 2012
11
1
Wakuu naombeni ushauri juu ya hili, mimi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public relations and Advertising pale UDSM ila sasa baada ya muda nimeshauriwa na watu wa nyumbani ni badili nichukue Bachelor of Arts in Geography and Eenvironmental Studies hapo hapo UDSM pia so mawazo yenu kwa kuangalia soko la BA/PRA na BA/GES massda wakuu
 
Mkuu haubadili faculty ila ni course ndo unayotaka change,anyways inawezekana ila it takes some time
 
AKILI kumkichwa hayo ni maisha yako na sio ya ndugu zako,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Sawa wakuu nimewaelewa swala ni la course ahsante kwa kunisahihisha that's y we're Great Thinkers bt hata mimi nimeamua kubadili kwakuwa nimetokea kuipenda BAGE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom