Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

Pengine labda kuna document za muhimu ambazo labda ni confidential!!! si unajua kazi nyingine bwana una ambiwa even ur wife can betray u?

Yaani mimi niliachana na boy wangu kisa hiyo
usiri mwingi
mtu wa siri hivyo hata kazi anayofanya hujui
khaaa Mimi siwez looo
 
akiweka yake password nawe weka yako basi.

kama akichepuka nawe inakuuma sana nawe chepuka kwakutumia condom basii,
ugomvi uishe muishi maisha ya amani
 
not right!! basi itakuwa left, mi ukiweka pasaword sihangaiki nawe naweka tu yangu yaishe, halafu mnafwatiliana nini??

hahaaaa umenichekesha mie nimewekewa pattern hizo ni hatari,
sasa kuna siku nikaomba aniwashie tochi akaanza ooh hii pattern si unatoa hivi sijui vile nikamjibu sihitaji pattern ila tochi tu,
kiukweli sioni umuhimu wa kufuatiliana.
 
Hornet mambo mengine nikujitakia pressure hasa ukiwa mgeni wa haya mambo, mi nnachoona:

asilale nje, ahudumie familia, anipe huduma muhimu ilonitoa kwetu kwa wakati, asiongee naye mbele yangu, basi na achepuke huku amejilinda to heeeeeel kupeana pressure za nini bahna wee ukijua hzo password zitasaidia nini? je akitumia nokia tochi? utafanyaje napo dude lenyewe haliishi hilo na akifa lakwanza kuoza alitumie kama tingatinga kimpango wake
 
Last edited by a moderator:

Dah kumbe ze utamu ndio huwa ya kwanza kuoza lol.......thanx for information nilikuwa sijui hili!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom