Mkuu uliwahi kusoma Kitabu cha kusadikika?Sasa kwa nini wajenge uwanja wa abiria 200?
Ule wa Chato (ambao sasa lami yake imeshageuzwa na wananchi kuwa ni jiwe kubwa la kukaushia mpunga na mahindi) laiti kama fedha zake zingetumika kuupanua huu wa Mwanza, hakika Mwanza sasa ingeshakuwa nyingine kabisa..Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards.Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi uwanja utakapokuwa wa kimataifa. Hii ni danganya toto,iwapo kweli serikali imekusudia uwanja huu kuufanya kuwa na vigezo vya kimataifa pamoja na miundo na mifumo itakayowekwa idadi ya wageni wanaohudumiwa kwa mkupuo waingiapo kuwa 200 tu ni kuupunguza hadhi uwanja unaolengwa kuwa wa kimataifa. iongezwe hadi 300. Tumetembea viwanja vingi ndege moja ya dreamline ikitua baadhi ya wageni lazima wabaki nje wanyeshewe mvua hii si haki,ndege mbili zikiingia zenye abiria 200 kila moja ndege nyingine itashindwa kutelemsha abiria.hili liangalieni na ikiwezekana wekeni variation ili upanuzi ufanyike. mliahidi kufanya re-design ya jengo, kulikoni? kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa na mlikiri kuwa lilikosewa, sasa mnarudi mlemle mwa wahandisi wa halmashauri ! Kumbukeni wananchi wanafuatilia kwa karibu suala la viwango nashauri bora mpunguze fedha za landscaping mpanue jengo. jengo la KIA na Songwe Airport pax capacity yake ikoje?Kwa hilo mmechemka. Ninawatakia ujenzi mwema.
Kanda ya ziwa ikifunguka kuna kanda itapotea maana Serengeti iko kanda ya ziwaUle wa Chato (ambao sasa lami yake imeshageuzwa na wananchi kuwa ni jiwe kubwa la kukaushia mpunga na mahindi) laiti kama fedha zake zingetumika kuupanua huu wa Mwanza, hakika Mwanza sasa ingeshakuwa nyingine kabisa..
Lakini kwa ujinga na upumbavu wa viongozi wa serikali ya CCM waliokuwa wakiongozwa na yule babalao Hayati Rais John P. Magufuli wakafanyaga maamuzi ya kijinga na kipumbavu (sawa na ujinga na upumbavu wao) ya kwenda kuzika mabilioni ya fedha huko Chato - Geita badala ya kuiimarisha hadhi ya huu wa Mwanza..
Sasa hivi Mwanza Airport ungeshakuwa na hadhi ya kimataifa muda mrefu sawasawa na ule wa Mwl Julius Kambarage Nyerere International Airport - Dar es Salaam..
Sasa hivi wanahaha lakini pamoja na hayo uwekezaji huu ni mdogo sana na hautainua hadhi ya uwanja huu katika kiwango cha kimatifa kinachotakiwa. Ni bora fedha iongezwe mara nne kufikia 200bn tupate uwanja wa tatu mkubwa wenye hadhi kwelikweli ya kimataifa ili kanda ya ziwa ifunguke kimataifa zaidi..
Hata mimi naona kuna hofu hiyo!Kanda ya ziwa ikifunguka kuna kanda itapotea maana Serengeti iko kanda ya ziwa
Mizengwe mingi kuhusu ujenzi wa uwanja huo toka zamani ni ishara kwamba kuna watu wanaoweka ngumu hapo kwa sababu zao wanazozijuwa wenyewe.Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards.
Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi(international pax)kwa mkupuo, uwanja utakapokuwa wa kimataifa.
Hii ni danganya toto,iwapo kweli serikali imekusudia uwanja huu kuufanya kuwa na vigezo vya kimataifa pamoja na miundo na mifumo itakayowekwa idadi ya wageni wanaohudumiwa kwa mkupuo waingiapo kuwa 200 tu ni kuupunguza hadhi uwanja unaolengwa kuwa wa kimataifa.
Iongezwe hadi 300. Tumetembea viwanja vingi ndege moja ya dreamliner ikitua baadhi ya wageni lazima wabaki nje wanyeshewe mvua hii si haki,ndege mbili zikiingia zenye abiria 200 kila moja ndege nyingine itashindwa kutelemsha abiria.hili liangalieni na ikiwezekana wekeni variation ili upanuzi ufanyike.
mliahidi kufanya re-design ya jengo, kulikoni? kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa na mlikiri kuwa lilikosewa, sasa mnarudi mlemle mwa wahandisi wa halmashauri !
Kumbukeni wananchi wanafuatilia kwa karibu suala la viwango nashauri bora mpunguze fedha za landscaping mpanue jengo.
Jengo la KIA na Songwe Airport pax capacity yake ikoje?Kwa hilo mmechemka. Ninawatakia ujenzi mwema.
Siyo "wasukuma" pekee wanaoishi huko; na siyo "wasukuma" pekee hupanda ndege.Mwanza kutua ndege ya watu 300 si leo, wageni weengi Mwanza kutafuta Nini? hayo majengo mengine yatajengwa baadae kwasasa hilo linawafaa.
Waskuma msipende makuu yasiyo na tija
Ule wa Chato (ambao sasa lami yake imeshageuzwa na wananchi kuwa ni jiwe kubwa la kukaushia mpunga na mahindi) laiti kama fedha zake zingetumika kuupanua huu wa Mwanza, hakika Mwanza sasa ingeshakuwa nyingine kabisa..
Lakini kwa ujinga na upumbavu wa viongozi wa serikali ya CCM waliokuwa wakiongozwa na yule babalao Hayati Rais John P. Magufuli wakafanyaga maamuzi ya kijinga na kipumbavu (sawa na ujinga na upumbavu wao) ya kwenda kuzika mabilioni ya fedha huko Chato - Geita badala ya kuiimarisha hadhi ya huu wa Mwanza..
Sasa hivi Mwanza Airport ungeshakuwa na hadhi ya kimataifa muda mrefu sawasawa na ule wa Mwl Julius Kambarage Nyerere International Airport - Dar es Salaam..
Sasa hivi wanahaha lakini pamoja na hayo uwekezaji huu ni mdogo sana na hautainua hadhi ya uwanja huu katika kiwango cha kimatifa kinachotakiwa. Ni bora fedha iongezwe mara nne kufikia 200bn tupate uwanja wa tatu mkubwa wenye hadhi kwelikweli ya kimataifa ili kanda ya ziwa ifunguke kimataifa zaidi..
Mada inayojadiliwa ni uwanja wa ndege wa Mwanza..Bila shaka hujawahi kupanda ndege hata mara moja ndiyo maana una ushamba mwingi na ujinga sana
Sasa unataka nani akusapoti eti pesa nibora zingeboresha mwanza airpor. Na sindio nyinyi mnaanzishaga thread mnanza kusema mwanza na Arusha wapi bora! unataka uwanja wakimataifa uwanze kulingishia mikoa jirani? baba pesa ya silikali aipangiwi... Na sisi wanjombe tunataka uwanja wakimataifa.... (Inshot acha wivu na nyinyi ndo mlio uuwa uwacha wa chato, mbona kipindi Magu ajaaga ndege zilikua zinatua! Uja jiuliza?).Ule wa Chato (ambao sasa lami yake imeshageuzwa na wananchi kuwa ni jiwe kubwa la kukaushia mpunga na mahindi) laiti kama fedha zake zingetumika kuupanua huu wa Mwanza, hakika Mwanza sasa ingeshakuwa nyingine kabisa..
Lakini kwa ujinga na upumbavu wa viongozi wa serikali ya CCM waliokuwa wakiongozwa na yule babalao Hayati Rais John P. Magufuli wakafanyaga maamuzi ya kijinga na kipumbavu (sawa na ujinga na upumbavu wao) ya kwenda kuzika mabilioni ya fedha huko Chato - Geita badala ya kuiimarisha hadhi ya huu wa Mwanza..
Sasa hivi Mwanza Airport ungeshakuwa na hadhi ya kimataifa muda mrefu sawasawa na ule wa Mwl Julius Kambarage Nyerere International Airport - Dar es Salaam..
Sasa hivi wanahaha lakini pamoja na hayo uwekezaji huu ni mdogo sana na hautainua hadhi ya uwanja huu katika kiwango cha kimatifa kinachotakiwa. Ni bora fedha iongezwe mara nne kufikia 200bn tupate uwanja wa tatu mkubwa wenye hadhi kwelikweli ya kimataifa ili kanda ya ziwa ifunguke kimataifa zaidi..
Viongozi wenyewe kils siku wanapanda ndege kwenda Mwanza je wanafurahia kutua kwenye uwanja chakavu kama huu!Siyo "wasukuma" pekee wanaoishi huko; na siyo "wasukuma" pekee hupanda ndege.
Mawazo yako ni ya kitoto sana kama huelewi mifumo ya usafiri wa anga.
Mimi hata sielewi huo uwanja una tatizo gani; maana haikuanza leo. Huu uwanja ni miaka na miaka umekuwa ukipigwa danadana. Ni kama kuna watu wanayo maslahi fulani na uwanja huu!Viongozi wenyewe kils siku wanapanda ndege kwenda Mwanza je wanafurahia kutua kwenye uwanja chakavu kama huu!