Uvumi/Tetesi: Mtoto wa Kikwete (8) kugombea Uenyekiti Chipukizi?

Status
Not open for further replies.
Acheni ujinga na kupotosha nimefatilia si kweli mtoto wa JK anagombea nafai hiyo tuache majungu
 
Habari za udaku hizi!

Miaka nane yuko la kwanza au la pili anatakiwa shuleni anagombea nini? does not make sense!

Wanaomchagua katoto hako ndio wasio na akili hata kidogo

Kama itakuwa kweli basi this the end of CCM nahisi ni udaku so far ! lets wait and see.

Mkuu Tumaini
uenyekiti wa chipukizi taifa upo na mwisho wa umri wa kugombea ni 14 yrs. Mwenyekiti anayemaliza muda wake anatoka shinyanga jina nimemsahau kidogo
 
Hii cheo iko siku nyingi sana.....1983 nikiwa STD VII mwenyekiti alikuwa Frank Uhalula...last time alikuwa mkuu wa wilaya somewhere
 
Ha ha ha ha ha. Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Lakini kweli last born wa Salma na Jakaya ana umri gani?

Mama Salma , kazi unayo.

Hata hivyo, ni uhuru wake kugombea. Hakuna mahali katiba imesema mtoto wa kigogo asigombee uongozi kama amekidhi vigezo. Ni uamuzi wa wapiga kura kumchagua au la. Ila nifahamuvyo watanzania wanasiasa hasa SSM wana woga na wanataka kujipendekeza, hivyo sitashangaa wakimchagua. Yetu macho.


watoto wa jk wanafikia 15 hadi sasa .....mtoto wake wa mwisho kazaliwa juzi ana miezi 8.........ila aliowatambulisha serikalini ni 8...kati yao 4 toka kwenye ndoa yake ya kwana [kina riziwani,salama,etc..] huyu aliyetajwa kugombea [pamoja na kuwa sina sidhani kama ni kweli hadi mleta hoja alete ushahidi]anayegombea chipukizi atakuwa RASHID chodo.au mdogo wake khalfan..[hawa ndio watoto wadogo wa salma]...ndoa yale ya pili kwa mama salma.........amabaye naye anao wanne...watoto waliobakia ambao hakuwatambulisha [pamoja na kuwa its known kuwa jk is loving father to all his children] aliwazaa kwa kinamama tofauti.....mostly in short stand relationships za miaka hii na huko nyuma!!
 
Mbongo
Hii habari ni sahii na nimethibitishiwa na viongozi wa UVCCM Taifa,Na kwa taarifa zaidi mtoto wa mweka Azina wa CCM Taifa Amos Makala anagombea mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa kupitia chipukizi,yetu macho tarehee 29 dec 2009 sio mbali ,bado siku sita tu
 
bongo mtoto wa rais nae ni rais...........hali kadhalika mtoto wa waziri nae waziri...............kwa maana nyingine mtoto huyo akitia timu tu lazima apite kwa sababu kuna influencial person at the top.........
 
Dah!We boramaisha ni mjinga kweli pumbavu yabisi wewe nyerere ndo alieiharibu nchi hii yeye ndie chimbuko la mafisadi wa nchi hii,amani ya watanzania ni nature yao .kaa kimya kam huna la kusema au wewe ndio kina ole sendeka wapumbavu wanaohemkwa.
 
Hii cheo iko siku nyingi sana.....1983 nikiwa STD VII mwenyekiti alikuwa Frank Uhalula...last time alikuwa mkuu wa wilaya somewhere

Hata kama isiwe sababu ya huyu mtoto chips mayai na bembea ya garden, hawe kiongozi wa vitoto ambavyo vimeshajua kuparamia miti baada ya kuanguka kwa sana.

hana sifa gani wa kuwa chipukizi mkuu iwapo task ngumu ngumu zitamshinda tu anajua kusonga ugali huyu akiwa porini au hata kubeba mzigo wa kuni.

Na sijui mshahara wake shillingi ngapi?
 
Rushwa ya madaraka ambayo adhabu yake ni kupigiwa kura ya Bunge ya kutokuwa na IMANI naye.
Huwezi ukachukua dhamana ya kuwafungulia nduguzo waingie kwenye uongozi ukiwa madarakani kama kweli una NIDHAMU ya uongozi
 
andika ukiwa na ushahidi wa jambo si hisia! habari zako si sahihi kama ifuatavyo
-Mtoto wa kikwete hagombei Uenyekiti anagombea ujumbe toka chipukizi kwenda baraza kuu uvccm
-makatibu wa wilaya hawakuitwa Dar, walioitwa ni makatibu wa mikoa wa vijana na wahamasishaji tu
-chama chote makini huwa na mipango thabiti juu ya uendeshaji madhubuti wa chama hivyo kuitwa kwa watendaji hao ni sehemu ya utendaji wa uvccm
-Baba, mama au mjomba kuwa kiongozi hakumnyimi mzaliwa haki ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa
-Nafasi za uongozi wa chipukizi zilitangazwa, wagombea wakajaza form na majina yote ya waliojaza yamerejeshwa hakunan aliyekatwa jina tatizo liko wapi?
 
Mkuu Tumaini
uenyekiti wa chipukizi taifa upo na mwisho wa umri wa kugombea ni 14 yrs. Mwenyekiti anayemaliza muda wake anatoka shinyanga jina nimemsahau kidogo

Kwahiyo hako katoto kana qualify kugombea? (haki za watoto)

Na kazi zao nini hasa kwenye chama? (watoto kuruhusiwa kufanya kazi)

Wanasoma wakati gani na wanafanya kazi za chama wakati gani?

Haki elimu na wanaharakati wa haki za watoto wanatakiwa kuwashtaki ccm kwa kuwatumikisha/kufanyisha kazi watoto wadogo

Haki ya mtoto wa miaka nane ni kucheza, kusoma, kula vizuri, na kulala vizuri finito!
 
Issue sio 'kuwa mtoto wa Rais'....apimwe kwa uwezo wake! kama anafaa kwa mujibu wa vigezo vya chipukizi wa UVCCM...well and good!
 
Taarifa rasmi nilizozipata kutoka UVVCM Makao makuu ni kuwa mtoto wa Jk amebadilishana na mtoto wa makala,mtoto wa makala sasa kugombea uenyekiti na wa jk kugombea ujumbe wa baraza kuu taifa kupitia chipukizi
 
Mtoa hoja nadhani wewe mtoto wako mpeleke shule tu ya maana na mkazanie asome mambo ya siasa waachie wanaotaka siasa. Ukiwa na elimu ya kutosha, nzuri na profesional huta hangaika na vyeo vya kugombea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom