Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Habarini doctors na memba wa jf, jamani kuna mtoto wa shemeji yangu ana miaka 2 na nusu akilia kuna uvimbe mkubwa kama yai la kienyeji unatokea sehemu ya juu ya uke kwa nje upande wa kulia, mtoto huyu akisimama lazima anyooshe mguu wa kulia na kuwa kama anaegemea wakushoto na akikaa ni vivohivyo, asipolia uvimbe hauonekani kabisa, NAOMBENI MNISAIDIE UVIMBE HUO UNATOKANA NA NINI NA MADHARA YAKE NI YEPI.