Uvimbe ukeni

Mkumbavana

Member
Jan 24, 2012
79
22
Habarini doctors na memba wa jf, jamani kuna mtoto wa shemeji yangu ana miaka 2 na nusu akilia kuna uvimbe mkubwa kama yai la kienyeji unatokea sehemu ya juu ya uke kwa nje upande wa kulia, mtoto huyu akisimama lazima anyooshe mguu wa kulia na kuwa kama anaegemea wakushoto na akikaa ni vivohivyo, asipolia uvimbe hauonekani kabisa, NAOMBENI MNISAIDIE UVIMBE HUO UNATOKANA NA NINI NA MADHARA YAKE NI YEPI.
 
Mwaishe Agha Khan kabla uke haujaoza
 
wewe unaonekana ni mtu mzima na una akili timamu lakini napata wasi wasi juu ya ubinadamu wako.SUALA ZITO KAMA HILI UNALIKIMBIZIA JF BADALA YA KWENDA HOSPITALI????????????????????????????ACHA UJINGA PELEKA MTOTO HOSPITALI.
 
yaani hujapata hata muda wa kumpeleka hospitali umekuaj huku JF.mmpeleke haraka iwezekanavyo kama hupampeleka bado
 
Mkuu hiyo ni inguinal hernia, inatibika hospitalini kwa operation.
Ni vizuri akatibiwa mapema, ikicheleweshwa inakuwa obstructed na inaambatana na maumivu makali.
Mpe pole sana.
 
yaani hujapata hata muda wa kumpeleka hospitali umekuaj huku JF.mmpeleke haraka iwezekanavyo kama hupampeleka bado
ni mtoto wa shemeji yangu na nimejitahidi sana kumsistiza ampeleke hospitali anasema eti kaambiwa hadi mtoto afikishe miaka 4 ndo atatibiwa
 
how dare you can spit this here, while you can immediately seek doctors advice at any nearby health institute.
 
Please please please.... Hili nalo la kuleta JF kabla ya hospitali???

The way i love my daughter, hadi nasisimka kwa kusoma tu hiyo post..... Tafadhali mpeleke hospitali, na kama uko rural naomba sana unitumie PM tumsaidie huyo mtoto

Ninahisi ni Hernia lakini ni lazima daktari ahakikishe ndio tiba itolewe....

can you treat this as urgent??

I hope Riwa atapepesa macho humu, au at least mzizimkavu (muzee ya mizizi)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom