The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 460
- 701
Wakuu habari,
Naomba mniambie tatizo la mpenzi wangu kwani nimekuta vitu vyeupe ukeni kwake leo baada ya kusex nae.
Huwa sishiriki nae tendo mara kwa mara sasa leo ndiyo nmeona vitu ivyo sijui ni vitu gani.
Halafu kingine ni kuwa upande wa juu kidogo wa uke kuna ka uvimbe na anasema kanampa maumiv japo siyo makali sana.
Naomba msaada wenu wataalamu