UVCCM na BAVICHA wataleta vurugu

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche alitoa kauli inayoashiria kuitisha UVCCM baada ya kujana wa cdm kukamatwa na kuteswa na wanaodhaniwa kuwa vijana wa ccm. "Tutakua wapole lakini hatutakua wanyonge, kitendo walichofanya viongozi wa ccm kumteka mwenyekiti wetu wa tawi la Magadirisho kumpiga na kumminya sehemu zake za siri hakikubaliki na hatutakivumilia"alisema John Heche. Je huko si kuchochea vijana kuchukua sheria mikononi?
 
Tumia akili hata kwa msimu tu!
Mbona huongelei fujo za kumteka mtu na kumminya korodani?
 
Yaani ukimwambia jirani yako acha uchokzi ntakufanyia kitu mbaya, nani anachochea vurugu hapo?
 
Back
Top Bottom