UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

Hivi Mwanamme mwenye akili timamu unaweza kulalamika kwenye public kwamba fulani anammega mke wako?? kweli?
 
wanakosea sana. Sugu alipojiingiza kwenye muziki alishategemea kashfa kama hizi sana tu.
Ukimegewa demu wako,na wewe tafuta mjinga ummegee. Kulalamika ni kujidhalilisha tu.
 
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items

weka hizo sms hapa .....acheni uzushi nyie......hio 5milioni ni kitu gani kwa Jaffarai ailiyekuwa anawezeshwa kwa mengi tu na yule dada!!!!
 
SUGU hajaoa, mambo ya ndani ya SUGU hayatuhusu, angekuwa amembaka lingekuwa suala jingine..kama ni kweli `SUGU endelea nae, mshauri ahamie CHADEMA`
 
"Hata Mtoto wa Demu wangu ananiita Uncle Sugu" Wananiita Sugu Sugu Sugu ahaa
 
Jamaa niliona kama si riziki we mwanaume mzima unaenda kulia redioni eti unamegewa? Eti ilibaki kidogo kuzimia lolz
 
weka hizo sms hapa .....acheni uzushi nyie......hio 5milioni ni kitu gani kwa Jaffarai ailiyekuwa anawezeshwa kwa mengi tu na yule dada!!!!

Yule dada asingewe za kumuhonga mil 5 wewe wasikia kijana?
 
Jaffari haha hha rudi uswazi ulizoea mteremkoo ukome

Umeona eeeh? Eti analia angekuwa ameoa tungejua moja yeye mwenyewe alikuwa mwizi tu. Eti kumegewa na Sugu kumeuma zaidi angutulia kama angemegewa na mtu amabye si public figure nimemuona yuko lowa sana. Mi namsapoti huyu dada kwa nguvu zote.
 
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.

we call that cheap shit

as an african man, huwezi kujidhalilisha kuhusu anayekula mkeo kama dogo alivyofanya, pia anamchafua shyrose ambae ni mwana CCM sana tu

Imagine dume la maana linakwenda kubwabwaja kwamba mkewe anatembea na mwanaume wa maana zaidi
 
Sasa kuwa CCM ndo hagongwi we vipi?
 
Umeona eeeh? Eti analia angekuwa ameoa tungejua moja yeye mwenyewe alikuwa mwizi tu. Eti kumegewa na Sugu kumeuma zaidi angutulia kama angemegewa na mtu amabye si public figure nimemuona yuko lowa sana. Mi namsapoti huyu dada kwa nguvu zote.

Hhahha yani mie nimemdharau kweli kweli halafu muda woote asijiendeleze wala nn anabakia kusema alikuwa apelekwe Marekani haha hahha, Jaffari karibu uswazi baba ulizoea MA VX sasa daladala kwenda mbelee
 
huyo Jaffarai si nasikia alikuwa ni tegemezi kwa kila kitu halafu hamweshimu anayemtegea,
haya ni matatizo ya vijana wa bongoflava hawana nidhamu kabisa kwani hawataki kukua
Hata kama amemchanyata itakuwa ni kwa makubaliano. Sijawahi kusikia sugu amebaka. Kwa hiyo sioni tatizo hapo. Huyo jafarai anatakiwa ajiulize ni kwa nini ametoswa? Labda ana matatizo....you never know!
 
hivi kwani sugu akimgonga shyrose hao wananchi kinawauma nini? Walimchagua awawakilishe wakijua hajaoa,,,, sasa wao walitaka nini?...... Anayeunga mkono hiyo hoja yao ya kipumbavu basi ana akili mgando......
 
Kwa mimi ni mara ya kwanza kupost hapa jf. Lakini hata kama, hayo ni maswala ya maisha binafsi ya mtu wao inawahusu nini?
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.
 
this is the problem of young guyz they are so deliquency
Hhahha yani mie nimemdharau kweli kweli halafu muda woote asijiendeleze wala nn anabakia kusema alikuwa apelekwe Marekani haha hahha, Jaffari karibu uswazi baba ulizoea MA VX sasa daladala kwenda mbelee
 
hata kama ni kweli amem-do je mwenye tatizo ni nani? si yalikuwa ni makubaliano yao ya wawili?
Kwa mimi ni mara ya kwanza kupost hapa jf. Lakini hata kama, hayo ni maswala ya maisha binafsi ya mtu wao inawahusu nini?
 
Umeona eeeh? Eti analia angekuwa ameoa tungejua moja yeye mwenyewe alikuwa mwizi tu. Eti kumegewa na Sugu kumeuma zaidi angutulia kama angemegewa na mtu amabye si public figure nimemuona yuko lowa sana. Mi namsapoti huyu dada kwa nguvu zote.
umeona kama ni kweli maana yake wote walikuwa ni wezi tu, hivyo ni dro dro au vipi?
N akama ni kweli shyrose amefanya hivyo maana yake ni kuwa hamhitaji tena huyo bongo flava,
mwanamme unakuwa ni tegemezi kwa kila kitu, ni aibu sana
 
Jamani hiki ni kichekesho kwelikweli dume zima tena bado hata maziwa ya kunyonya toka kwa mama hayaja kauka linalalama kama mse*** au ni mse***,any way bwana mdogo natarajia tutakuwa tunakuona kwenye vile viwanja i.Samaki samaki na kwingineko kama kawaida na bwebwe nadhani zitakuwa zilizile ili kuthibitisha hukuwa MARIYOO na kama ulikuwa Mariyoo imekula kwako, kaa chini anza kuandika vesi Clouds walijaribu wameshidwa mwishoe kimya ww ni kinda sana au mtafute yule aliyekuwa analalamika kaporwa mke akuelekeze jinsi ya kufungua kesi naye nahisi ni **** na Mariyoo kama wewe tu,mnajua kula kufanya kazi aaa
 
Back
Top Bottom