UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

Jamani hiki ni kichekesho kwelikweli dume zima tena bado hata maziwa ya kunyonya toka kwa mama hayaja kauka linalalama kama mse*** au ni mse***,any way bwana mdogo natarajia tutakuwa tunakuona kwenye vile viwanja i.Samaki samaki na kwingineko kama kawaida na bwebwe nadhani zitakuwa zilizile ili kuthibitisha hukuwa MARIYOO na kama ulikuwa Mariyoo imekula kwako, kaa chini anza kuandika vesi Clouds walijaribu wameshidwa mwishoe kimya ww ni kinda sana au mtafute yule aliyekuwa analalamika kaporwa mke akuelekeze jinsi ya kufungua kesi naye nahisi ni **** na Mariyoo kama wewe tu,mnajua kula kufanya kazi aaa
umeona hawa ni watoto wa uswahilini wanajua kula tu bali kutafuta aaaa
 
Sasa Jafarai inamuuma nini! kwani hata kama Sugu kala, pake pale? mwenye napo katuuliaaa!.......
Au alitaka yeye ndio "atengenezwe" na Mzee Sugu?
Iwe kweli au imetengenezwa haina mashiko,......
 
Sasa Jafarai inamuuma nini! kwani hata kama Sugu kala, pake pale? mwenye napo katuuliaaa!.......
Au alitaka yeye ndio "atengenezwe" na Mzee Sugu?
Iwe kweli au imetengenezwa haina mashiko,......
i like ur signature

Si kila mtenda mema ni mcha Mungu, bali mcha Mungu hutenda matendo mema.
 
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.

Kama kweli UVCCM wamefikia hatua ya kuendeleza si ha sa za maji taka mpaka leo badala ya kurudi nyuma na kujipanga na kuangalia wapi pa kuanzia kurekebisha makosa yao yalioiletea CCM kushindwa majimbo makubwa yote na kukalia kumpaka mtu matope ni kuhishiwa au kufirisika kwa mawazo na fikra na ni upuuzi mtupu. Shame on u UVCCM nalitegeme mje na mikakati mipya ya jinsi gani ya kulichukuwa jimbo kurudi mikononi mwenu kumbe nyie ndio wale wale wa kukitokomeza kizazi cha vijana

 
sugu piiiiga kazi yaaani tiiia fiiito,yaaani weka kuni huyo mwana CCM..............
 
Back
Top Bottom