UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

Ungejua tulivyo imara ,tupo tunaandaa sherehe ya ushindi kila eneo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wapo mashoga wanahangaika kupendeza na sare za chama badala ya kufanya kampeni ndio basi tena PONDA Keshawashika kende wamebaki wanatoa macho tu ...
20201015_125137.jpg
 
Mnachokipuuza ndicho kinachowapeleka shimoni japo ukweli ni kwamba, katika kila vijana 100 uvccm ni 10 tu huku ndani ya hao kumi waliokunywa maji ya bendera ni wawili tu.
Kibaya zaidi hawaonekani sababu jiwe hauziki, habebeki, amechokwa vibaya sana na watanzania alafu kibaya zaidi akiwa kwenye majukwaa anaongea utumbo utadhani kalogwa au hana akili timamu.
Sasa mtu kama jiwe utakuwa na hoja gani ya kumtetea hata kama umejitoa ufahamu? Katika eneo nilipo hapa Arusha mtu aliyenivutia na mwenye hoja ni diwani tu! Mrisho gambo pamoja na magufuli nawaonea kinyaa
Kunamzee nafanya nae ni pro magufuli acha kabisa.
,sasa njoo umsikie hoja zake anasema magufuli ni mtendaji tu siyo mwongeaji hivyo ni kiongozi mzuri.
Pili anasema lisu hana lolote analojua zaidi ya kelele tu .
Binafsi ni umri wake tu ndo namlimdia ila mzee anazingua kinyama pale staff

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Kamwulize Zuchu, au Masanja au Magufuli mwenyewe kinachowapata wakijaribu kupost
 
Gwajima atakuwa mbunge wa kawe hilo halina ubishi. Upende usipende, Halima Mdee na cdm walibweteka na kukosea kusimamisha mgombea urais ambaye ni kibaraka.

Mikutano ya Lissu yote angalia akizungumzia jambo la kumshambulia Mh Rais JPM moods za wanaomsikiliza zinabadillika na wanabakia kumshangaa.Ni ungane na Polepole hakukosea, hao wanaoenda kwa Lissu ni kushangaa msukule.

Lakin huyu shehe Ponda kammaliza Lissu kwa kauli yake ya kusema kura zote za waislamu wamekubaliana ziwe kwa Lissu. Ponda alichaguliwa lini kuwa ndiye msemaji wa Waislamu wote wa Tanzania?

Lissu najua ni zuzu flani hivi kafurahia kauli ile yaPonda akifikiri ndio kapata. Na uzuzu wa Lissu ukiendelea kuendekezwa sijui Taifa hili litaishia wapi? Hivi ni kweli kuwa hatari ya Lissu na mieyendo yake canot be anticipated? Na naomba Lissu umuulize Ponda anajua kuwa kuna kura za Wakristo wa Tanzania na siasa haichangamanishwi na udini? Alitumia uhalali gani kuwaapisha watu wa imani nyingine ya tofauti na Sheikh Ponda. Anajua alichofanya ni usumbufu usio wa lazima kwa watu wa imani nyengine tofauti na yeye?
Sheikh ubwabwa alihad sijui nani pale viwanja vya Tang.Pack alifanya nini?
Yaani watu wa propaganda wa Polepole mliookotwa mkipiga debe pale Tandale,Mwananyamala na Mbagala mnazidiwa uwezo hata na Diamond Platnumz!?
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Pamoja na ushabiki mwingi ulioko kwenye mitandao, hivi umeshawahi kufanya utafiti kidogo tu kujua hao wanaopost sana kwenye mitandao ni watu wangapi?
Mfano mdogo: fuatilia mada zoote hapa Jamii forum za CDM kama kuna ambayo imepata like, au imepata coment kutoka kwa watu wakufika 100 kama ipo naomba ushahidi..
Kwa Great thinker ni kuwa wapo washabiki mahiri wa CDM ambao hawafiki 100 humu Jamii forum. Imamaanisha lipo kundi la watu kwa maelfu humu jamii forum ambao hawajataka kuonesha msimamo wao kwamba wanaunga mkono chama gani
Kazi kwako....
 
Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.
Vya muhimu ndio vile vya niketeeni mwanamke mweupe
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Siku zote Tajiri huwa hajiangaishi sana kutaka Kupambana 'Kimaneno' na Kapuku, ila Yeye huwa Kimya tu huku Utendaji wake ukiimarika Kiufanisi.
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Mambo sio shwari mpka wanalalia waya za fence
IMG_20201014_211055.jpeg
 
Watakaoipigia kura CCM mwaka huu ni wagombea walioteuliwa kupeperusha bendera katika viti vya ubunge na udiwani na familia zao, viti maalumu wanaosubiri kuapishwa, na familia zao, TISS maana hawa ni CCM B, na wa mikoa na wakuu wa wilaya wachache na familia zao, hata baadhi ya wateuliwa wa Magu hawatompigia kura magu maana wameishi roho mkononi kwa miaka yote mitano, hawana hamu nae wanamchekea usoni tu. Hili ndio kundi pekee ambalo CCM wana uhakika na kura zao.

Makundi mengine inahitaji mtu uwe kichaa ndio uipigie kura CCM.

binti kiziwi nitakukumbusha huu uzi baada ya wiki mbili!
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Nyinyi ni ufalme uliofitinika, hamna hoja za kujibu kabisaa ndio maana mmelala usingizi wa pono
 
Humu Kuna wapiga udaku kampeni zipo mtaani nyumba kwa nyumba ndo wapiga kura wapo....huyu kibaraka wa mabeberu Hana tofauti na shishibaby na wafuasi wake wanashinda mitandaoni kusambaza udaku
 
Ole Sabaya naye atetea Uhuru na Haki

04 Julai 2020

DC HAI OLE SABAYA AONDOA ZUIO LA WATU KUTOKWENDA BAR IFIKAPO SAA MBILI USIKU KIJIJI CHA ISUKI

Wenyeviti wa vijiji waliochaguliwa katika uchaguzi haramu wa serikali za vijiji na Mitaa wa November ndiyo vinara wa kupoka uhuru na haki anasema DC Ole Sabaya .
 
View attachment 1604206

Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Hawa kenge wanatupoteza wa tz kwa masilahi yao binafsi
 
Back
Top Bottom