uuuwi! baridi ya Makete ni Kiboko!!

Dogo komaa aisee
Mi nilishawahi kuishi huko hadi LUPILA kama unapasikia ni noma!
Mwaka jana nilikuja mitaa ya Njombe ilikuwa Nov ila sikuvua jacket hata mara moja..sasa kwa sasa naamini hali ni mbaya sana hapo!
Pole sana aisee lol
Vaa manguo ya kutosha ila usiguse ile kitu utaumia!
Ndeeeeeti

duh ndugu yangu na wewe unatembea, asubuhi nimeanzia lupila na mbalatse kisha nikapita ikonda, then ndio nikaingia makete
 
Mkuu hata mimi naingia huko jpili kama tunaweza kushare ideas..niandalie kabisa mahali pa kushukia.. nakuja maeneo Ikonda na Iwawa..

karibu mkuu... ukifika... ni pm
 
Mkuu hata mimi naingia huko jpili kama tunaweza kushare ideas..niandalie kabisa mahali pa kushukia.. nakuja maeneo Ikonda na Iwawa..

karibu mkuu... ukifika... ni pm
 
Pole sana. Njoo dukani kwangu ninauza matanuru special kwa ajili ya kuwapa joto watu wenye ugonjwa wa kusikia baridi kama nyie.
 
namshukuru MUNGU asubuhi baridi limepungua sijavaa hata jacket niko safi tuu... ahsanteni wote kwa salamu, pole na well wishing zenu kwangu
 
baridi yake noma sometimes mpaka snake wanashindwa kuuma mtu, kunguru wanadondoka wenyewe na kufa, na ukifanya mchezo hata dudu haisimami tehe tehe
 
jamani jamani.....mi mbona sikubaliani na wewe....

Ni kweli hautakubaliana nae sababu wkt hii thrade inaletwa wewe hukua chini! BT inaonekana nae alikua hajapanda!
Angekua tayari! Mngelandana kimtazamo.
 
Back
Top Bottom