Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,008
5,446
Habari wataalam na wenye hekima,

Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki.

Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu kwenye uume wangu.

Uwezo wa performance hauja pungua zaidi kuimarika tatizo linakuja sisikii raha tena nikiwa katika tendo, yaani sometimes naona ka sikufanya kitu kile nilichokitegemea sikukiskia kabisa.

Nimejaribu kubadilisha aina za wanawake wembamba kwa wanene wap!

Tafdhali msaada plz
 
Unataka tukushauri nini hapa?

Anyways kwa kukushauri cha muhimu kwa sasa ni hakikisha unakula vyakula vyenye protini na virutubisho, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha na muda wa kupumzika.

Ukiweza kutusaidia kuandika wosia na labda kuchagua aina ya jeneza na sehemu ya mazishi tutashukuru sana maana combination ya kufanya mara 6 kwa wiki plus michubuko katika uume plus kubadilisha wanawake mara nyingi hii huzaa ngwengwe
 
Unataka tukushauri nini hapa?

Anyways kwa kukushauri cha muhimu kwa sasa ni hakikisha unakula vyakula vyenye protini na virutubisho, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha na muda wa kupumzika. Ukiweza kutusaidia kuandika wosia na labda kuchagua aina ya jeneza na sehemu ya mazishi tutashukuru sana maana combination ya kufanya mara 6 kwa wiki plus michubuko katika uume plus kubadilisha wanawake mara hii huzaa ngwengwe
Ni wataalam na wenye hekima tuu ndo watashsuri wewe soma komenti tuu
 
J
Unataka tukushauri nini hapa?

Anyways kwa kukushauri cha muhimu kwa sasa ni hakikisha unakula vyakula vyenye protini na virutubisho, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha na muda wa kupumzika. Ukiweza kutusaidia kuandika wosia na labda kuchagua aina ya jeneza na sehemu ya mazishi tutashukuru sana maana combination ya kufanya mara 6 kwa wiki plus michubuko katika uume plus kubadilisha wanawake mara nyingi hii huzaa ngwengwe
Jamaa kanishtua anasema michubuko af mademu tofauti tofaut ilo ni pepo la ngono.
 
Habari wataalam na wenye hekima,

Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki.

Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu kwenye uume wangu.

Uwezo wa performance hauja pungua zaidi kuimarika tatizo linakuja sisikii raha tena nikiwa katika tendo, yaani sometimes naona ka sikufanya kitu kile nilichokitegemea sikukiskia kabisa.

Nimejaribu kubadilisha aina za wanawake wembamba kwa wanene wap!!!

Tafdhali msaada plz
Pole Sana Kwa hilo jambo Hapo tatizo lipo ndani yako ,kikawaida kitu ukikipa nguvu na chenyewe kina respond kwa kuendelea kukua day after day

Hatua za kuchukua unaweza tengeneza Muunganiko mzuri Kati ya mwili wako ,akili , na hisia Kwa kuweka balance usiruhusu kimojawapo kutumika Sana weka balance utazame mwili Kama chombo kinachohitaji kupewa mapumziko , zitazame hisia zako na Akili Kwa mfumo huo.


Ili usifike hatua ya Kuwa na uraibu na kuyapa maisha yako maana nikuweka balance zaidi katika Maisha yako.


Au nitafute +255658124288 WhatsApp Kama unahisi Unahisi upo na tatizo then na MTU mwingine anaweza nitafuta ambaye tayari yupo addictive au anaelekea katika Addictive au anataka kumsaidia ndugu yake, rafiki n.k
 
Back
Top Bottom