Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

jmushi1 na kuhakikishaia kuwa mimi ni kijana huru sijafungwa fikra zangu na chama wala mtu yeyote. Nimekuwa nikikosoa kila lenye kukosoleka na kupongeza lenye kupongezeka liwe la CDM, CCM na CUF.

Ila kama unataka niwe mwanachama wa vyama unavyosema wewe nishawishi ili nijiunge.

Lini ulirudisha kadi ya cuf? kadanganye watoto sio sisi watu wazima na akili zetu mgoshi. unasumbuliwa na dhambi ya ubaguzi wa kidini tu hauna maradhi mengine.
 
Duuu!!! watu wanajikaanga kwa mafuta yao kama kiti moto
ngoja tusubiri Movie kamili
 
Hakika Ben amefanya kazi aliyotumwa kwa ufanisi mkubwa. Anastahili pongezi kwa wanaokitakia mema CHADEMA.
 
Ben amepata umaarufu wa ghafla kumzidi Kigagula a.k.a Prezoo

Huyu Masalia wa Kigagula hajajipanga mpaka namuonea huruma.Ni uharo tu kaleta hapa.
 
tumechoka! this is not a right place now>>> nenden kwenye vikao vya chama jamani!!!!
Yani imekuwa kama Hadija kopa na Nasma Kadogoo R>I>P.
Siasa haiendi hivi Nyie Vijana.
Dr Slaa na Mw Kit. Please hawa Vijana waiteni muwaonye, Huu upuuzi wa maneno ya khanga hatutaki humu jamiii.
hapa wasira na Nape wanachekelea tu, wanapata vyakuongea majukwaani.
ukigeuza siasa kuwa ajira haya ndio matokeo yake.kwa hakika nimegundua kuwa karibu wote hawa hawana ajira za kuaminika na wanategemea CHADEMA kiwabebe badala ya wao kukibeba chama mpaka tutakapo fikia ukombozi wa kweli wa nchi yetu. mwenye matatizo makubwa kuliko wote ni ZZK anayetumia udhaifu wa hawa vijana ili afikie malengo yake kisiasa hata kama njia anayotumia ni HARAMU NA HAIKUBALIKI.Afukuzwe bila kumuonea huruma hana maana.
 
wametumwa kukivuruga chama hawana lolote ondokeni chadema mkipewa pesa mwawa mamluki nyie pamoja na zitto nendeni ccm atuwataki...wasaliti nyie mmepewa pesa mnavuruga chama kama ni watu makini mwaweka habari hizi jf ili mumpe mtaji nani kama sio ccm
tumechoka! this is not a right place now>>> nenden kwenye vikao vya chama jamani!!!!
Yani imekuwa kama Hadija kopa na Nasma Kadogoo R>I>P.
Siasa haiendi hivi Nyie Vijana.
Dr Slaa na Mw Kit. Please hawa Vijana waiteni muwaonye, Huu upuuzi wa maneno ya khanga hatutaki humu jamiii.
hapa wasira na Nape wanachekelea tu, wanapata vyakuongea majukwaani.
 
naona mfa maji haachi kutapatapa,naona hapa kila mtu anajalibu kumchafua mwenzake ili wakiitwa fagio la chuma liwapitie pembeni lkn ningeona busara kikao kingefanyika mapema na kauri ya mwisho ingekuwa hivi,.'HAYA NYOTE HAKUNA MWENYE HATIA NA MWENYE HATIHA,NENDENI MKAJENGE CHAMA NA TUWE KITU KIMOJA''naona hapa kila mtu anaogopa kufukuzwa nda ya chama kama yaliyomkuta MALEMO wa south afrika mwisho wa siku akarudi kuomba msamaha arudishwe chamani,.CHADEMA CHAMA IMARA,kama ya SHIBUDA yalipita na haya yapite pia.ila atakaejifanya mkaidi atimuliwe,.ushauri,.kikao kiwe mapema mwka huu ili 2013 tuzaliwe upya
 
Saa8 nimnafiki mkubwa na muuaji wa chama. Hizi tuuma kwanini asizipeleke kwenye vikao vya chama analeta JF kwa kumfaidisha nani? ULAANIWE SAANANE NA UTAISHIA PABAYA KWAIZO FITINA ZAKO. Shame on you.
 
Ben10 kula 5!

Niwazi kuwa wewe ni kichwa, Wakati wewe unamwaga facts wao wanaleta ngonjera za kujibinjua baada ya kumaliza kujisaula!
Jambo moja kubwa sana nililojifunza kwa hawa MAKUWADI masalia ni kuwa walikuwa wanakutegemea kwa kiasi kikubwa sana kimawazo na kifkra kiasi kwamba TYSON akawa na matumaini kuwa CDM kitakufa kabla ya 2015...Ninauhakika Prezoo/Zitto alimhakikishia Mhe Rais kuwa kazi za kuibomoa CDM zinakwenda vizuri...

Wanachokifanya sasa hivi ni damage control ambayo kutokana na upeo wao kuwa mdogo plus upofu uliopatilizwa kwa fedha nyingi za ndani na nje ya nchi WANAZIDI KUJIHARIBIA...kudos Ben10
 
naanza kuwa na wasiwasi na huyu ben kama sio jasusi wa Chadema basi atakuwa wa vyama pinzani mwenye mission ya kuchafua chadema
 
Thus why I hate politics, coz ni upuuzi kweli ona sasa hawa jamaa utadhani mazuzu bwana! watu mlianza vizuuri ila sasa mmeanza kuleta ujinga wenu.Sikilizeni nyie mjue hii nchi sio ya baba zenu ohoo! tena msituzengue kabisa yaani! tena next time mkiwa na malumbano yenu msituletee haya mambo humu coz cc tunawaona wajingaa! mnajidai mnaongea kwa hoja kumbe hoja zenyewe ni za jambo la kipuuzi bhana! mmeniboa kweli mjue!
 
Viongozi wakuu chukueni hatua mapema msifumbe midomo na macho kama utamaduni halionao bwana ...... vijana hawa waelekeze inaonekana ndo sasa vifaranga wa samaki wanaota mapezi kuanza kuogelea.
 
Back
Top Bottom