Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Matokea ni yaleyale yalioleak jmosi, TCU inawachagulia chuo si unilichochagua mtu aliyepata 1.7 PCB chaguo lake la 1 ni MUHAS wao wamempeleka BUGANDO mwingine chaguo lake la 1 ana div 3.10 wamempeleka MUHAS. Kijana wangu chaguo lake la 1 ud law div 2.8 wamempeleka mzumbe rafiki yk 2.9 kapelekwa ud, mwingine kapelekwa st joseph na jina lake leo nimeliona kapata 1.7 PCM ST JOSEPH chaguo lake la mwisho. Sio haki kabisa

Huoni kwamba hilo ni jambo zuri kuondoa MATABAKA
 
Huoni kwamba hilo ni jambo zuri kuondoa MATABAKA

Sio jambo zuri kabisa sasa kwanini walisema wanafunzi wachague vyuo.

Inakaticha tamaa kabisa wanachuo watarajiwa yaani kama mtu una pesa unaachana kabisa na vyuo kabisa vya TZ.

INAKERA SANA.
 
Matokea ni yaleyale yalioleak jmosi, TCU inawachagulia chuo si unilichochagua mtu aliyepata 1.7 PCB chaguo lake la 1 ni MUHAS wao wamempeleka BUGANDO mwingine chaguo lake la 1 ana div 3.10 wamempeleka MUHAS. Kijana wangu chaguo lake la 1 ud law div 2.8 wamempeleka mzumbe rafiki yk 2.9 kapelekwa ud, mwingine kapelekwa st joseph na jina lake leo nimeliona kapata 1.7 PCM ST JOSEPH chaguo lake la mwisho. Sio haki kabisa

MUHAS upate three uje kusoma MD au pharamcy??? hyo haipo usilete uongo MUHAS wapo strict sana.

Hata TCU sidhan kama wanaweza fanya hvyo hzo habar sidhan kama una uhakika nazo labda kama umesikia tu mitaani.
 
Matokea ni yaleyale yalioleak jmosi, TCU inawachagulia chuo si unilichochagua mtu aliyepata 1.7 PCB chaguo lake la 1 ni MUHAS wao wamempeleka BUGANDO mwingine chaguo lake la 1 ana div 3.10 wamempeleka MUHAS. Kijana wangu chaguo lake la 1 ud law div 2.8 wamempeleka mzumbe rafiki yk 2.9 kapelekwa ud, mwingine kapelekwa st joseph na jina lake leo nimeliona kapata 1.7 PCM ST JOSEPH chaguo lake la mwisho. Sio haki kabisa

komaaaaaaaaaaa
 
habari za kusikia watu wanazungumza wakati mtu upo chooni kujisaidia ni mbaya sana......eti MD MUHAS 3 PTS 10 kwanza mwanafunzi mwenye busara hawez enda coz atashikwa mapemaaaaaaaaa
 
MUHAS upate three uje kusoma MD au pharamcy???hyo haipo usilete uongo muhas wapo strict sana,hata Tcu sidhan kama wanaweza fanya hvyo hzo habar sidhan kama una uhakika nazo labda kama umesikia tu mitaani

Usibishe ndugu mfano ninao rafiki waliosoma na mtoto wangu nawajua kwa majina, Muhas hawachagui TCU ndio inachakata sijui ndio kuchagua.

Hata wa kwangu choice yake ya 2 kapelekwa mtu aliyepata 3 wewe huoni kuna tatizo TCU.
 
habari za kusikia watu wanazungumza wakati mtu upo chooni kujisaidia ni mbaya sana......eti MD MUHAS 3 PTS 10 kwanza mwanafunzi mwenye busara hawez enda coz atashikwa mapemaaaaaaaaa

Ndugu mfano ninao rafiki wa mtoto wangu, uhakika kama matokeo ya jmosi ndio vyuo watakavyoenda nimeupata leo baada ya st joseph kuweka majina.

Sikulazimishi uniamini.
 
Ndugu mfano ninao rafiki wa mtoto wangu,uhakika kama matokeo ya jmosi ndio vyuo watakavyoenda nimeupata leo baada ya st joseph kuweka majina.Sikulazimishi uniamini

kama anakitaka MUHAS asiende chuo asubiri mwakani, kwa logic yako kusiwe na chaguo la pili na kuendelea.

Muulize huyo mwanao hcho chuo hakuchagua? na hiyo three ya MUHAS haipo.

Huyo alokwambia amekudanganya ndo nyinyi mnaamin kuwa kuna IV ya penati.
 
Ndugu nilikwenda jtatu asubuhi na mtoto wangu wakadai matokeo hayatoka sasa leo st joseph ndio wamenidhihirishia yale yalikuwa matokeo halisi, nategemea kuwafuata jtatu kwakweli wanatusumbua na sisi wazazi

Na ukienda jumatatu unayakuta yote. hahahaha kaa kazini jenga taifa kila kitu kipo kwenye system.

Imagine matokeo yametoka mwez wa 7 mwez huu mnapewa mayokeo ya vyuo bado mnalalamika.

Wewe kama mzazi ulitakiwa kujipanga tangu ulipoona matokeo ya mwanao.
 
Habari ndugu zangu, TCU wmethibitisha wale wote walioomba second selection. ukitaka kujua kama umekubaliwa kwenye chuo ulichoomba au laa. Fungua akaunti yako ya TCU then ANGALIA KWENYE MY PROFILE HALAFU ANGALIA HAPO JUU KWENYE SELECTION STATUS UTAONA WAMEANDIKA APPROVED badala ya In progress
Name :
Gender :
Form 4 Index Number : Form 6 Index Number :
Nationality :
Physical Impairment :
Email Address :
Mobile Number :
Postal Address :
Selection Status:Approved
Chungulia sasa hivi kabla hawajashtukia mchezo........
 
na ukienda jumatatu unayakuta yote. hahahaha kaa kazini jenga taifa kila kitu kipo kwenye system. imagine matokeo yametoka mwez wa 7 mwez huu mnapewa mayokeo ya vyuo bado mnalalamika. wewe kama mzazi ulitakiwa kujipanga tangu ulipoona matokeo ya mwanao.

Sidhani kama umenielewa
 
kama anakitaka MUHAS asiende chuo asubiri mwakani. kwa logic yako kusiwe na chaguo la pili na kuendelea. muulze huyo mwanao hcho chuo hakuchagua? na hiyo three ya muhas haipo. huyo alokwambia amekudanganya ndo nyinyi mnaamin kuwa kuna IV ya penat.

Pole sana,huelewi maana ya kuwa nachaguo la 1 nn na wao walisema wanafuata chaguo la 1 kama umetimiza vigezo hapo uelewi nn.

Nimekupuuza.
 
hawatatoa ndo inakua ivo! hata kwa ac za first round hongereni mmeshapata!
 
Ndugu mfano ninao rafiki wa mtoto wangu,uhakika kama matokeo ya jmosi ndio vyuo watakavyoenda nimeupata leo baada ya st joseph kuweka majina.Sikulazimishi uniamini
si kweli hiyo na haiwezekani.....and u know what....i have a feeling wewe sio mzazi wala nini......ni fom six liva unayesubir kuingia chuo na una mchecheto mbayaaaaaaaaaaa
 
Pole sana,huelewi maana ya kuwa nachaguo la 1 nn na wao walisema wanafuata chaguo la 1 kama umetimiza vigezo hapo uelewi nn.Nimekupuuza

huna akli kumbe. na kiwan chake cha 7 ajiulze kuna 1 za 3 na 4 na 5 ngap ndo aanze kulalamika. we na ww p00r sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom