kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini.
Inasemekana kuwa wakati wa awamu ya tano umeme ulikuwa haukatiki katiki ovyo kama Sasa na mambo kwenye wizara zote yalikuwa yanakwenda vizuri kuliko Sasa kwa vipimo vya wakosoaji wa serikali ya Mama Samia.
Dr. Biteko kuteuliwa kuwa Naibu waziri Mkuu na waziri wa nishati ni jibu la wakosoaji wa serikali ya Mama Samia kwenye kukatika katika kwa umeme na utendaji kwenye wizara zote. Huyu atakuwa shahiti kama kweli Kuna uzembe uliokuwa ukifanywa na January makamba kwenye umeme au la maana Sasa ndiye waziri wa nishati. Ni shahidi kama Mwl. Majaliwa anazembea katika usimamiaji utendaji wa wizara zote maana Biteko ni Naibu waziri Mkuu.
Tunasubiri majibu ya kero zetu kujua kama kero hizi ni genuine au za kizembe TU?